By whatever yardstick ya sababu walizoziandika, nimeyafikiria yote , eti akiona kuna tishio la usalama/amani, au atakavyoona inafaa. ILE kuwa na mamlaka ya kuamua wapi ahesabie kura , kuamua kuwa sasa kuna tishio la usalama etc etc, basi inatosha kutoa mwanya wa kuiba kura for the benefit of CCM!Kanuni hiyo imetaja ni katika hali gani kituo cha kuhesabia kura kinaweza kubadilika?
Umeandika kuibua hisia, hujaandika kuelimisha. Ulitakiwa kujumuisha jibu la swali nililokuuliza kwenye mada yako.
Hatupigi kura jipitisheni tuKanuni hiyo imetaja ni katika hali gani kituo cha kuhesabia kura kinaweza kubadilika?
Umeandika kuibua hisia, hujaandika kuelimisha. Ulitakiwa kujumuisha jibu la swali nililokuuliza kwenye mada yako.
Mungu alivoumba wanadamu na Wanyama aliweka ubongo kichwani lakini it sound like, ccm wamefanya modification, wafuasi wao almost wote ubongo umetolewa kichwani na kuwekwa sehemu tofauti kabisa ya mwili yaani. Tuishi tuKanuni hiyo imetaja ni katika hali gani kituo cha kuhesabia kura kinaweza kubadilika?
Umeandika kuibua hisia, hujaandika kuelimisha. Ulitakiwa kujumuisha jibu la swali nililokuuliza kwenye mada yako.
Kanuni hizo ni null and void!Ni moja ya Kanuni ya kishenzi eti Msimami wa kituo cha kupigia kura ana uhuru wa kuchagua wapi ahesabie kura. Anaweza kura zikapigiwa say Kimara, akaamua kuhesabia Kigamoni ofisi ya CCM.
1. Humo njiani usalama wa kura anaulinda nani?
2. Mawakala wanafikaje huko alikohamishia
3. Let say wameamua kwenda huko alikokusema watahesabia kura, mawakala wakifika wakakuta hayupo, fate yao ni pi?
4. Njiani humo msimamizi akiamua kubadili masanduku ya kura nani atamzuia
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
View attachment 3401246
Mkuu Chibo, Chibolo , wewe bila kujua, kumbe ni wewe na wengine wote ambao ni eligible voters msiojiandikisha, na mkijiandikisha hamjitokezi kupiga kura, ndio mnaotoa nafasi ya kufanyika kitu kinachoitwa election rigging!.Mie ndo maana nilishaacha kufuatilia mambo ya siasa,mara ya mwisho kupiga kura ilikuwa 2020,sitapiga kura tena hata iweje
Mtu akiwa ccm na hasa hasa kwenye nafasi za uteuzi anakoma kutumia ubongo wake!Mungu alivoumba wanadamu na Wanyama aliweka ubongo kichwani lakini it sound like, ccm wamefanya modification, wafuasi wao almost wote ubongo umetolewa kichwani na kuwekwa sehemu tofauti kabisa ya mwili yaani. Tuishi tu
Mkuu Mayala, kwanza nikupongeze kwa muendelezo wa michango yenye tija kwenye dira ya taifa ya maendeleo...Mkuu Chibo, Chibolo , wewe bila kujua, kumbe ni wewe na wengine wote ambao ni eligible voters msiojiandikisha, na mkijiandikisha hamjitokezi kupiga kura, ndio mnaotoa nafasi ya kufanyika kitu kinachoitwa election rigging!.
Kama eneo fulani lina eligible voters 100, wakajiandikisha watu 50, wakajitokeza watu 25
Mamlaka inachapisha kura 100,
Wale watu 25 waliojitoleza hata wote wakipigia kura Chadema, zile kura 75 zinapigwa CCM kwa rigging! au hata zisipopigwa, hesabu yake inaingizwa CCM!.
Kama wangejitokeza watu wote 100, wakapigia Chadema, there will be no room for rigging na huwezi kuongeza kura tu surpass the number of eligible voters!.
Kutokujiandikisha na kutokupiga kura ni kumsusia ngedere shamba la mahindi, atafyeka kila kitu, na wewe utayavuna mabua!.
P
He is not deceived who knows himself to be deceived....Mkuu Chibo, Chibolo , wewe bila kujua, kumbe ni wewe na wengine wote ambao ni eligible voters msiojiandikisha, na mkijiandikisha hamjitokezi kupiga kura, ndio mnaotoa nafasi ya kufanyika kitu kinachoitwa election rigging!.
Kama eneo fulani lina eligible voters 100, wakajiandikisha watu 50, wakajitokeza watu 25
Mamlaka inachapisha kura 100,
Wale watu 25 waliojitoleza hata wote wakipigia kura Chadema, zile kura 75 zinapigwa CCM kwa rigging! au hata zisipopigwa, hesabu yake inaingizwa CCM!.
Kama wangejitokeza watu wote 100, wakapigia Chadema, there will be no room for rigging na huwezi kuongeza kura tu surpass the number of eligible voters!.
Kutokujiandikisha na kutokupiga kura ni kumsusia ngedere shamba la mahindi, atafyeka kila kitu, na wewe utayavuna mabua!.
Niliwashauri Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
Kuhusu No Election, nimewashauri sana tuu Ushauri wa Bure kwa Wafuasi wa NRNE, Hope for the best but get prepared for the Worst. Msidanganywe na Nyomi, mtashangaa. Hakuna atakayesusia Uchaguzi
Mpaka nimewaombea kwa Mungu Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?
P
Kutokushiriki uchaguzi kwao kuna wanyima haki kujadili sheria mbovu za uchaguzi Come on level yako ya Ujinga imepitilizaNyie si mmesema hamshiriki uchaguzi? Sasa hizo pyepyepye za Nini?
Nchi hii ni yetu sote, sio mali ya CCM au mali ya mtu yoyote ni mali ya Watanzania wote tukiwemo mimi na wewe.Mkuu Mayala, kwanza nikupongeze kwa muendelezo wa michango yenye tija kwenye dira ya taifa ya maendeleo...
ILA
Kwenye hili unapotosha! Najua unajua na sisi tunajua unajua kuwa Ikulu tayari ina matokeo ya uchaguzi.
Ukapange foleni ama usiende hakubadilishi matokeo!
Endelea kuwashawishi wasishindane na vivuli vyao!
NO REFORMS, NO ELECTION.Ni moja ya Kanuni ya ajabu eti Msimami wa kituo cha kupigia kura ana uhuru wa kuchagua wapi ahesabie kura. Anaweza kura zikapigiwa say Kimara, akaamua kuhesabia Kigamboni ofisi ya CCM.
1. Humo njiani usalama wa kura anaulinda nani?
2. Mawakala wanafikaje huko alikohamishia
3. Let say wameamua kwenda huko alikokusema watahesabia kura, mawakala wakifika wakakuta hayupo, fate yao ni ipi?
4. Njiani humo msimamizi akiamua kubadili masanduku ya kura nani atamzuia?