Hapa bila Katiba mpya na kuwa tume huru ya uchaguzi hakuna kitu!Ni moja ya Kanuni ya ajabu eti Msimami wa kituo cha kupigia kura ana uhuru wa kuchagua wapi ahesabie kura. Anaweza kura zikapigiwa say Kimara, akaamua kuhesabia Kigamboni ofisi ya CCM.
HAKIKAMtu akiwa ccm na hasa hasa kwenye nafasi za uteuzi anakoma kutumia ubongo wake!
Kaka mayala nakuelewa sana na huwa nasoma sana machapisho yako,juzi kwenye jukwaa la wahariri wa vyombo vya habari ulishauri jambo zuri kuhusu simba wa kizimkazi kushiriki uchaguzi ili chama tawala kisishindane na kivuli chake ili sikumbuki kama kama ushauri wako ulijibiwa,pamoja na juhudi zako za kututia moyo na kuendelea kutuelemisha haya mambo yanakqtisha tamaa!!Mkuu Chibo, Chibolo , wewe bila kujua, kumbe ni wewe na wengine wote ambao ni eligible voters msiojiandikisha, na mkijiandikisha hamjitokezi kupiga kura, ndio mnaotoa nafasi ya kufanyika kitu kinachoitwa election rigging!.
Kama eneo fulani lina eligible voters 100, wakajiandikisha watu 50, wakajitokeza watu 25
Mamlaka inachapisha kura 100,
Wale watu 25 waliojitoleza hata wote wakipigia kura Chadema, zile kura 75 zinapigwa CCM kwa rigging! au hata zisipopigwa, hesabu yake inaingizwa CCM!.
Kama wangejitokeza watu wote 100, wakapigia Chadema, there will be no room for rigging na huwezi kuongeza kura tu surpass the number of eligible voters!.
Kutokujiandikisha na kutokupiga kura ni kumsusia ngedere shamba la mahindi, atafyeka kila kitu, na wewe utayavuna mabua!.
Niliwashauri Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
Kuhusu No Election, nimewashauri sana tuu Ushauri wa Bure kwa Wafuasi wa NRNE, Hope for the best but get prepared for the Worst. Msidanganywe na Nyomi, mtashangaa. Hakuna atakayesusia Uchaguzi
Mpaka nimewaombea kwa Mungu Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?
P
Hauna akiliMie ndo maana nilishaacha kufuatilia mambo ya siasa,mara ya mwisho kupiga kura ilikuwa 2020,sitapiga kura tena hata iweje
Ni ujinga mtupu! Halafu eti yalikaa mijitu mizima yenye watoto wanaowaita baba pole umetoka kazini! Na yanalipwa mishahara na serikali,kupitisha uchafu kama huu!This is rubbish!Ni moja ya Kanuni ya ajabu eti Msimami wa kituo cha kupigia kura ana uhuru wa kuchagua wapi ahesabie kura. Anaweza kura zikapigiwa say Kimara, akaamua kuhesabia Kigamboni ofisi ya CCM.
1. Humo njiani usalama wa kura anaulinda nani?
2. Mawakala wanafikaje huko alikohamishia
3. Let say wameamua kwenda huko alikokusema watahesabia kura, mawakala wakifika wakakuta hayupo, fate yao ni ipi?
4. Njiani humo msimamizi akiamua kubadili masanduku ya kura nani atamzuia?
Utakuwa na ulemavu wa ubongo weweHauna akili
Uhuni tu, kwa kanuni hii achana na zingine za hovyo, mtu anaweza kuesabia kura akiwa hawara yake , sijui aya yanafanyika kwa faida ya nani, watz tumetelekeza nchi kwa mambo ya hovyo, leo mil 5 au moja inamfanya mtu kutelekeza taifa , Mungu atusaidie watzNi moja ya Kanuni ya ajabu eti Msimami wa kituo cha kupigia kura ana uhuru wa kuchagua wapi ahesabie kura. Anaweza kura zikapigiwa say Kimara, akaamua kuhesabia Kigamboni ofisi ya CCM.
1. Humo njiani usalama wa kura anaulinda nani?
2. Mawakala wanafikaje huko alikohamishia
3. Let say wameamua kwenda huko alikokusema watahesabia kura, mawakala wakifika wakakuta hayupo, fate yao ni ipi?
4. Njiani humo msimamizi akiamua kubadili masanduku ya kura nani atamzuia?