Ni haki mtu kulipa hela kisha ukafungwa bila kujieleza?

Ni haki mtu kulipa hela kisha ukafungwa bila kujieleza?

Paradisehome

Senior Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
145
Reaction score
143
Aman kwenu wana-jukwaa na asubuh njema pia!


Niombe niende moja kwa moja!

Kuna mtu mmoja hivi,alinitumia msg za kejeli na matusi juu,nika mblock,lkn badae nikaona hapana wacha nim unblock akimaliza yake atatulia,ametiririka we,nikaona huu ni ujinga,nikamjibu vzr tu,baada ya yy kuona maada imemshinda,akanitishia eti lazima nikatupwe ndani,
Cha ajabu sikutishika nikamwambia sehem ninayofanyia kazi,namba za simu anazo zote,majina na kila kitu kunihusu mimi!

Nikabaki najiuliza hv,hivi kweli mtu kuna uwezekano gani kutumia nguvu kuweza kumtendea maovu mwenzake na si sharia?
Na inaingiaje akilini mfano kma mapolisi kumfunga mtu huku wakichukulia visenti vya mtu na wala si haki?


Au kuna kifungu sijasoma,naomba nijue,
Na ni njia ipi au msaada gani wa kusaaidia watu km hao wanaoingizwa ndani kwa hongo za walioshiba kiburi?


Asanteni!
 
Wewe utakuwa unadaiwa. Dawa ya deni ni kulipa deni
 
Back
Top Bottom