Ni haki Simba SC kumbadili kocha kipindi hiki

Narudia tena "Ikifika december simba haijagawanyika na wachezaji hawajaanza mgomo wakiongozwa na mkude nipigwe ban"

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umerogwa siyo bure aisee! Na kama ndivyo hivyo, basi hayo yatatokea baada ya kuganyika kwa Vyura FC na kumfukuza Lwandamina😑😑😎😎😱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…