Timu iko kwenye mchakato wa mabadiliko kama kutakuwa Na mgawanyiko mnafikiri tajiri gani atawekeza kwenye klabu yenye mgawanyiko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa mdauHoja nyingi wanazotoa mashabiki hazina ushahidi wowote wa takwimu au matokeo. Ni hoja zinazosukumwa na unazi + hisia za kufikirika. Hebu tuzipitie hoja hizi;
1. Eti Simba ya Omog haifungi magoli mengi!!! Striker sijui mbovu, n.k. Hadi tunakwenda mitamboni, Simba ndio timu inayoongoza kwa idadi ya magoli ya kufunga, na pia kama haitoshi ina goal difference kubwa kuliko zote ktk ligi ya VPL
2. Eti Simba haichezi vizuri! Kucheza vizuri kulinganisha na nani? Kama kulinganisha na Ulaya sawa, lkn kama ni mpira wa Afrika Mashariki, big no!!! Takwimu karibu zote za kuonyesha ubora wa timu ktk mechi mbili za VPL zimeonesha ubora wa Simba
3. Eti Mkude hachezi! Ni mechi ya pili tu ya Ligi wapendwa! Pili, kocha hawezi kuchezesha viungo wa ulinzi watupu kwa timu kama Simba, tatu, kocha lazima atengeneze mfumo na kikosi cha kwanza kupitia mashindano, na anaendelea kuingiza wachezaji kadri anavyoona inafaa. Hata hivyo, Kotei kiufundi ni bora kuliko mkude labda tuseme Mkude anaujua mpira wa kibongo.
4. Eti timu haijafanya vizuri kwenye ligi. Hii ni hoja dhaifu kuliko zote. Timu iko nafasi ya pili, na imetoka sare na timu bora kabisa ya Azam ktk uwanja wa ugenini. Real Madrid imevimbiwa nyumbani na katimu kadogo kabisa huko Hispania, Man United nayo chupuchupu weekend iliyopita! Tujifunze kuheshimu mpira kwa kuheshimu timu pinzani.
Watu waseme labda wanataka kumfukuza kocha kwa ajili ya hasira za kukosa ubingwa msimu uliopita lakini sio kwa hoja hizi hapo juu.
Mimi ningependa Simba Sc impe muda kocha Omog kwani hu ndo mwanzo waligi ukizingatia Ana wachezaji wengi wapya na waliofanya vzr kwenye timu zao. NI vugumu wote kupata no first eleven
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwel kabisa hawa viongoz wetu full mihemukoSimba wanatakiwa kuwa na uvumilivu timu haijengwi kwa muda mfupi kama wanavyofikiria, wapeni muda Omog na mayanja mtafurahi wenyewe hamuoni wenzenu yanga walivyo Na subra
Sent using Jamii Forums mobile app
Omogi ameshindwa kuunga stricking force na kingine kuchelewa kufanya sub. Haya si matatizo ya kumfukuza kocha. Ikifika mechi amwachiea Mayanja apange kikosi ushindi unapatikana tu. Bado mapema sana kuwaza hayo.
Omog atumbuliwe tu!hivi ukiachana na omog ni kocha gani aliyeipeleka Simba mashindano ya kimataifa mala ya mwisho????
Kweli lazima Bi Hindu achukue timu yakeNarudia tena "Ikifika december simba haijagawanyika na wachezaji hawajaanza mgomo wakiongozwa na mkude nipigwe ban"
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba na Uvumilivu ni kama Lisu na watawara.Simba wanatakiwa kuwa na uvumilivu timu haijengwi kwa muda mfupi kama wanavyofikiria, wapeni muda Omog na mayanja mtafurahi wenyewe hamuoni wenzenu yanga walivyo Na subra
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wa adui ni vema kuuangalia kwa makini.Simba wanatakiwa kuwa na uvumilivu timu haijengwi kwa muda mfupi kama wanavyofikiria, wapeni muda Omog na mayanja mtafurahi wenyewe hamuoni wenzenu yanga walivyo Na subra
Sent using Jamii Forums mobile app