Ni halali kula samaki siku ya ijumaa kuu..

Ni halali kula samaki siku ya ijumaa kuu..

Kuna Mangi mmoja kasema yeye hali nyama bali atakula utumbo tu !!!
[emoji1] [emoji1] dah, ila Leo moto tunao,maana wife anakaangiza nyama tu huko sa sijui ndio inakuaje nae ndio msabato hana habari na mambo hizi za ijumaa Kuu
 
Kula nyama au kutokula nyama siku ya ijumaa ni fundisho la wanadamu kutoka roma. Upande wa maandiko hakuna agizo lolote la aina hiyo. Sasa utachagua maandiko au utachagua fundisho la waroma? Kazi kwako, lakini mi nakushauri uchague nuru (maandiko) kuliko maagizo ya wanadamu (Giza)
 
Leo nimebishana na mtu ameniambia samaki hawana damu hata kidogo
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3]
 
Naombeni kujua wadau hii imekaaje maana wakristu tunaambiwa tusile nyama siku ya ijumaa kuu.

Kuna samaki nimepika jana apa sasa nikimuacha ataharibika maana sina fridge.

Msaada wa haraka unahitajika though nimeshasema namla.


Sikia mkuu, kula nyama au samaki siku ya Ijumaa kuu si kosa kwani haumli Yesu mwenyewe, unakula mnyama tu. haya mengine yote yamewekwa na binadamu tu, naomb uniambie ni wapi katika Biblia Mungu ama Yesu alikataza watu wasile nyama au samaki siku ya Ijumaa Kuu. Hizi dini zinapotosha sana sie waafrika, we don't need them. Time has come inabidi tuhamke, Mungu katupa akili tuzitumie ipasavyo si kufuata tu dini za watu zisizo na tija kwetu waafrika.
 
Back
Top Bottom