[emoji1] [emoji1] dah, ila Leo moto tunao,maana wife anakaangiza nyama tu huko sa sijui ndio inakuaje nae ndio msabato hana habari na mambo hizi za ijumaa KuuKuna Mangi mmoja kasema yeye hali nyama bali atakula utumbo tu !!!
Hahaahahaah.......Leo nimebishana na mtu ameniambia samaki hawana damu hata kidogo
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3]
Naombeni kujua wadau hii imekaaje maana wakristu tunaambiwa tusile nyama siku ya ijumaa kuu.
Kuna samaki nimepika jana apa sasa nikimuacha ataharibika maana sina fridge.
Msaada wa haraka unahitajika though nimeshasema namla.