St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
- Thread starter
-
- #121
Ukiona unapewa kwa masharti ujuwe hujui,kama mkali utapewa hata kama kuna msiba wa baba.
Umekubaliee eti ugali,ugali,kwani dada zako hawajui kupika ugali,mbona hujawaoa umenifata mie hata sina nasaba na wewe,ina maana hukufata ugali kwangu,mnatakiwa mlitambue hilo
Naomba niwe wa nne ili nikufundishe vizuri kupika..............
Duh....,nimelegea.........
Hapo mungu tu alikataza vinginevyo............
usilegee bwana utanlegeza na mie,ila ugali sipiki tuambiane mapema
usilegee bwana utanlegeza na mie,ila ugali sipiki tuambiane mapema
Umekubaliee eti ugali,ugali,kwani dada zako hawajui kupika ugali,mbona hujawaoa umenifata mie hata sina nasaba na wewe,ina maana hukufata ugali kwangu,mnatakiwa mlitambue hilo
hapana si halali hata kidogo tena huo ni unayanyasaji wa kijinsia ulio dhahiri ambao unastahili kupigwa vita na kukemewa kwa nguvu zote
Shosti,
Umenipa ujanja hapa...nitakapoopoa kimwana, mrembo nitamuuliza masuali haya mawili:-
Moja- kazi ya 6x6 anaiweza? Kwa hili hata naweza kujaribu kwanza kabla ya kujitwisha mzigo.
La pili- je kupika unajua vizuri?.. kuna siku nitamwalika nyumbani, tutapita sokoni pamoja kununua vifaa na kumwambia nitapenda kula chakula atakachokipika (sitaki kwenda kuona chakula tayari kimepikwa,pengine amekinunua restaurant au shoga yake amemtengenezea msosi ili anitie mie mkenge!!)
Halafu nitamwambia nategemea hayo mawili ni baadhi tu ya sifa ninazozitegemea awe nazo.
Akijibu kuwa hajui kupika ,wala nisitegemee kumuoa ili awe mpishi basi nitatafuta housegirl, yeye atanifanyia yote!!! au vipi shosti!!??? na gharama pia itanipungukia!:smilez:
mmmmh, shostito..........!!!!!!
una mambo wewe!!!!!!!
Mhh kwani vipi tena bacha!!!
Kama unanitega kiaina hiviii!!!Shosti,
Umenipa ujanja hapa...nitakapoopoa kimwana, mrembo nitamuuliza masuali haya mawili:-
Moja- kazi ya 6x6 anaiweza? Kwa hili hata naweza kujaribu kwanza kabla ya kujitwisha mzigo.
La pili- je kupika unajua vizuri?.. kuna siku nitamwalika nyumbani, tutapita sokoni pamoja kununua vifaa na kumwambia nitapenda kula chakula atakachokipika (sitaki kwenda kuona chakula tayari kimepikwa,pengine amekinunua restaurant au shoga yake amemtengenezea msosi ili anitie mie mkenge!!)
Halafu nitamwambia nategemea hayo mawili ni baadhi tu ya sifa ninazozitegemea awe nazo.
Akijibu kuwa hajui kupika ,wala nisitegemee kumuoa ili awe mpishi basi nitatafuta housegirl, yeye atanifanyia yote!!! au vipi shosti!!??? na gharama pia itanipungukia!:smilez:
Ila hapo mkuu bado shida ipo,maana hata house girl akipika ukala ukamaliza na kumshukuru binti wa watu,wenzetu hawa huwa wananuna,unamshukuru wa nini na hela tunamlipa?Sasa kama hutaki nimshukuru si unipikie wewe?
Karibu mkuu jukwaani,sasa hapo tunawanyanyasa vipi,sijaelewa ati,ina maana hata wakishindwa majukumu yao nasi tukachukua hatua inakuwa ni kuwanyanyasa?
Mhh kwani vipi tena bacha!!!
shosti, mi naamini mara nyingi mwanamke anaejua kupika, basi inshallah hata kitandani si mvivu!!!!!!
unajua nini Paka black, kuna wakati huwa najiuliza,
najaribu kuhuisha mara nyingi mwanamke anaejua kupika chakula kitamu, anakuwa pia amebarikiwa kujua utundu wa kitandani,
sijui wewe unaonaje hilo?
wala si kweli,kupika kupika na kupiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiika kuna ufundi wake wala hauhusiani na kunuka vitunguu,ushanfehemu hapo!!!