Ni halali kumuacha mkeo kisa hajui kupika?

Umekubaliee eti ugali,ugali,kwani dada zako hawajui kupika ugali,mbona hujawaoa umenifata mie hata sina nasaba na wewe,ina maana hukufata ugali kwangu,mnatakiwa mlitambue hilo

Hapo mungu tu alikataza vinginevyo............
 
Usijali paka mweusi,mi huwarudisha kwanza hawa wanaume kwa wazazi ili wazazi wawarekebishe.......nalipa miezi mitatu,nikienda kulichukua halijaelewa somo ndo atakapojua uchache wa wanaume uko kwa wasio na nyota na kwamba the world does not revolve around him,ntakuja kukuchukua wewe fasta tuanze maisha na hivi uko vizuri,sidhani kama nitarudisha tena mtu kwa wazazi............LOL

Naomba niwe wa nne ili nikufundishe vizuri kupika..............
 
usilegee bwana utanlegeza na mie,ila ugali sipiki tuambiane mapema

Kwa hali hiyo itabidi hilo swala tulipeleke Dodoma likajadiliwe na waheshimiwa,naona hapo kama utakuwa hujantendea haki mtoto wa kisukuma....
 
hapana si halali hata kidogo tena huo ni unayanyasaji wa kijinsia ulio dhahiri ambao unastahili kupigwa vita na kukemewa kwa nguvu zote
 
Umekubaliee eti ugali,ugali,kwani dada zako hawajui kupika ugali,mbona hujawaoa umenifata mie hata sina nasaba na wewe,ina maana hukufata ugali kwangu,mnatakiwa mlitambue hilo

Shosti,

Umenipa ujanja hapa...nitakapoopoa kimwana, mrembo nitamuuliza masuali haya mawili:-

Moja- kazi ya 6x6 anaiweza? Kwa hili hata naweza kujaribu kwanza kabla ya kujitwisha mzigo.
La pili- je kupika unajua vizuri?.. kuna siku nitamwalika nyumbani, tutapita sokoni pamoja kununua vifaa na kumwambia nitapenda kula chakula atakachokipika (sitaki kwenda kuona chakula tayari kimepikwa,pengine amekinunua restaurant au shoga yake amemtengenezea msosi ili anitie mie mkenge!!)

Halafu nitamwambia nategemea hayo mawili ni baadhi tu ya sifa ninazozitegemea awe nazo.

Akijibu kuwa hajui kupika ,wala nisitegemee kumuoa ili awe mpishi basi nitatafuta housegirl, yeye atanifanyia yote!!! au vipi shosti!!??? na gharama pia itanipungukia!:smilez:
 
hapana si halali hata kidogo tena huo ni unayanyasaji wa kijinsia ulio dhahiri ambao unastahili kupigwa vita na kukemewa kwa nguvu zote

Karibu mkuu jukwaani,sasa hapo tunawanyanyasa vipi,sijaelewa ati,ina maana hata wakishindwa majukumu yao nasi tukachukua hatua inakuwa ni kuwanyanyasa?
 
Shosti,

Umenipa ujanja hapa...nitakapoopoa kimwana, mrembo nitamuuliza masuali haya mawili:-

Moja- kazi ya 6x6 anaiweza? Kwa hili hata naweza kujaribu kwanza kabla ya kujitwisha mzigo.
La pili- je kupika unajua vizuri?.. kuna siku nitamwalika nyumbani, tutapita sokoni pamoja kununua vifaa na kumwambia nitapenda kula chakula atakachokipika (sitaki kwenda kuona chakula tayari kimepikwa,pengine amekinunua restaurant au shoga yake amemtengenezea msosi ili anitie mie mkenge!!)

Halafu nitamwambia nategemea hayo mawili ni baadhi tu ya sifa ninazozitegemea awe nazo.

Akijibu kuwa hajui kupika ,wala nisitegemee kumuoa ili awe mpishi basi nitatafuta housegirl, yeye atanifanyia yote!!! au vipi shosti!!??? na gharama pia itanipungukia!:smilez:

Ila hapo mkuu bado shida ipo,maana hata house girl akipika ukala ukamaliza na kumshukuru binti wa watu,wenzetu hawa huwa wananuna,unamshukuru wa nini na hela tunamlipa?Sasa kama hutaki nimshukuru si unipikie wewe?
 
Kama unanitega kiaina hiviii!!!
 
Ila hapo mkuu bado shida ipo,maana hata house girl akipika ukala ukamaliza na kumshukuru binti wa watu,wenzetu hawa huwa wananuna,unamshukuru wa nini na hela tunamlipa?Sasa kama hutaki nimshukuru si unipikie wewe?

Mkuu,
Hukufahamu... yule mrembo ambaye hajui kupika sitomuoa badala yake naweka house girl tu, nyumbani. hebu isome tena!
 
Karibu mkuu jukwaani,sasa hapo tunawanyanyasa vipi,sijaelewa ati,ina maana hata wakishindwa majukumu yao nasi tukachukua hatua inakuwa ni kuwanyanyasa?

unajua nini Paka black, kuna wakati huwa najiuliza,
najaribu kuhuisha mara nyingi mwanamke anaejua kupika chakula kitamu, anakuwa pia amebarikiwa kujua utundu wa kitandani,
sijui wewe unaonaje hilo?
 
shosti, mi naamini mara nyingi mwanamke anaejua kupika, basi inshallah hata kitandani si mvivu!!!!!!

wala si kweli,kupika kupika na kupiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiika kuna ufundi wake wala hauhusiani na kunuka vitunguu,ushanfehemu hapo!!!
 
unajua nini Paka black, kuna wakati huwa najiuliza,
najaribu kuhuisha mara nyingi mwanamke anaejua kupika chakula kitamu, anakuwa pia amebarikiwa kujua utundu wa kitandani,
sijui wewe unaonaje hilo?

Swadakta,hapo ni kweli tupu.
 
wala si kweli,kupika kupika na kupiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiika kuna ufundi wake wala hauhusiani na kunuka vitunguu,ushanfehemu hapo!!!

msichana mvivu wa kitandani utamjua tu, vitu vidogo dogo kama hivyo anakuwa anashindwa ati!
katika wale wote niliobahatika kuwa nao, mashalllah wamebarikiwa vyote viwili!!
 
Back
Top Bottom