Ni halali kumuacha mkeo kisa hajui kupika?

Ni halali kumuacha mkeo kisa hajui kupika?

mhh ugali sipiki kweli kabisa,cha kukomaza mikono yangu,inatakiwa iwe lainiiiii ili kuikamata mic tu na sio miko ya ugali,ugali wenyewe wa kisukuma mgumu huo unapika mpaka mikono inatoka sugu inahusu!!!

Hata mic za kisukuma sio lelemama, unaimba hasa watu mpaka kushangilia laziam ujue kuimba mama....
 
Bibie kanuna ile issue ya jana, nipo tu nang'aa macho kwa jamii forums...

hahahahah lol
pole sana mtu wangu hamna dozi leo...
mmmhhhh piga magoti yaishe..
maana kwa kweli hutashinda kwenye hili lol...
 
Karibu mkuu jukwaani,sasa hapo tunawanyanyasa vipi,sijaelewa ati,ina maana hata wakishindwa majukumu yao nasi tukachukua hatua inakuwa ni kuwanyanyasa?

tunawafumania lakini hatuwaachi kutokujua kupika tu ndio talaka jamani!
 
tunawafumania lakini hatuwaachi kutokujua kupika tu ndio talaka jamani!
Nakubaliana nawe mizani kidogo inatupendelea wanaume,BTW nashukuru kwa offer yako ya kuniliwaza Cheusi alivyoenda kuhesabiwa nilikuwa bado sijashukuru,asante kwa moyo wa upendo.
 
ahh ulimbuken tu ndg yangu na izi movie ndo zatuharibu kabisa +km umeptia feminist theories na kijisent kdg kikikupitia bas kelel zaanzia apo
..zaman wakat majukumu ya domestic ni ya mke na mwanaume ni kutafuta pesa haya yote hayakwepo bt nw asubui we waenda job na mimi job na wote twachoka sawa ndo pbm kwa BAADHI ya wakike inaanzia apo na mapembe yananza kuota ya kudai haki sawa cz anaona mnaaamka wote sa 11 kwnda job na wote mnarud sa 11 sasa akirud tena hm kupika apike peke ake,kuchota maji,sjui kufanyaje wakat wewe umekunja 4 seblen anaona si sawa na WIMBO WA HAKI SAWA WAANZA KUIMBWA simply cz we umechoka na mimi nimechoka pia kazin sasa iweje tena niendelee kumenyeka bila kunisaidia ata kukata kitunguu..?



hali ya maisha na mifumo ya kibepari imebadirisha ata mfumo wa maisha kati ya mke na mume.
na aiwezekan tena kurud enz ziiiiile...imekula kwetu

Hapo kwenye bold, unataka leo niamini tofauti na siku zote kwamba wewe si Mama Mchungaji bali Baba Mchungaji? Maana kama na wewe ni mwanaume anayelalamikia hali hii! Mimi kama mwanaume nakwambia usijali.
 
Usukumani kutokujua kupika especially ugali ni disqualification kwa wakwe

Hakuna kitu kinaitwa 'kupika ugali' ila 'kusonga ugali'. By definition kutoka Buhaya encyclopeadia, kusonga ugali ni mazoezi ya viungo na wala si upishi. Nenda vyuo vyote vya hotel management, hakuna kozi ya kusonga ugali. Kuleni ndizi na wali, msiwatese wake zenu au wafanyakazi wenu wa ndani.
 
Hakuna kitu kinaitwa 'kupika ugali' ila 'kusonga ugali'. By definition kutoka Buhaya encyclopeadia, kusonga ugali ni mazoezi ya viungo na wala si upishi. Nenda vyuo vyote vya hotel management, hakuna kozi ya kusonga ugali. Kuleni ndizi na wali, msiwatese wake zenu au wafanyakazi wenu wa ndani.



Eti tule ndizi,kwani sisi tumbili?Wengine watatuambia tule wali,kwani tumekuwa ndege?Si mimi ni misemo ya wasukuma hiyo.
 
Mimi napika mashed potatoes na pancakes, macaroni, ugali tu ! Ndio mwisho wa ufundi wangu! Dishes zingine tunasaidiana wala sitanii...wala siachiki, kwakuwa hicho hakikuwa kigezo cha kuwekwa ndani,
No matter how hard I try the other stuff..it just embarass so we just have to do it together coz he's better than me, the nice part is...its so much fun and it brings us closer and closer, I love sunday cooking....🙂 🙂
Thts why baby I thank u daily for loving me for who I am and not what I can offer, either in bed or in kind!
Mbarikiwe
 
Back
Top Bottom