jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Kwahiyo mke wake ndiye atakae amua leo wapike chakula gani ? na wawe wana kula sangapi! Maana kila familia wana masaa yao ya kunywa chai na kula mchana na usiku.Unatakiwa kumtumia Pesa mkeo siyo Mama yako!