Ni halali kutuma pesa za matumizi kwa mama wakati mke wangu yupo kwake?

Unatakiwa kumtumia Pesa mkeo siyo Mama yako!
Kwahiyo mke wake ndiye atakae amua leo wapike chakula gani ? na wawe wana kula sangapi! Maana kila familia wana masaa yao ya kunywa chai na kula mchana na usiku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…