Jiulize ni aibu kiasi gani ccm watapata kama rais atashindwa kura ya maoni. Lazima kuzuia vitu kama hivyo visitokee. Kwa ubaguzi uliomo na matusi yaliomo ndani ya ccm wakati wa uchaguzi ni vizuri watoe form moja. Kumbuka Salim Ahmed Salim aliitwa Hezbollah. CCM kuna watu ni wabaya sana. Ndo maana Kikwete alisema hawaachiani maji mezani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.