Bill Cosby
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 2,588
- 1,554
Bill acha kupotosha watu ukiwa na kosa police wanachukua leseni na kumbuka wana hadi mamulaka ya kuifungia hiyo leseni yako kwa kipindi watakachoona inafaa. Nchi nyingine wana utaratibu wa point kila kosa point sijui ngapi na ikifika point fulani wanachukua leseni kwa muda au kama ni makosa makubwa wanachukua jumla inamaana wewe ndo basi tena kuendesha au uanze upya. Tatizo wenye magari tanzania mnajiona mpo juu ya sheria wakati hata sheria hamzijui
Wewe km ni askari basi leo umegonga ukuta.
HAKUNA ASKARI YYT NCHINI TZ Anaweza KUKUFUTIA LICENSE YAKO.
Hii ni kazi ya MAHAMAKAMA!
Uwezo pekee aliopewa Askari wa Tz Ni kukupiga Faini isiozidi 30,000, au km ataona gari uendeshayo SIO SALAMA basi ni kuizuia Isitembee brbrni.
Kumbuka ASKARI SIO MAHAKAMA, Na Tz jurisdiction Haijampa Nguvu HATA MKUU WA ASKARI WOTE TZ KUCHUKUA LICENSE YAKO.
We km unafanya Mchezo huu usije kukutana na mwenye kujua Sheria.
Utapata tabu sana.