Ni halali kwa raia wa kawaida kumiliki Bulletproof vest?

Umiliki alafu iweje mtu hata gobore huna sawa na kuvaa helment afu upo kwa legee [emoji124][emoji124] ni matumiZ mabaya ya kichwa[emoji23][emoji23]
 
Kama kofia ya pikipiki tu. Ruksa.
 
Ukiwa na pesa vaa tu ila ukiwa hauna pesa ukilivaa unaonekana kichaa tu yaan mfukon huna kitu alaf unajiongezea uzito
 
Si ni kujilinda tu. Kwani ina madhara kwa wengine? Mie naona ni kama elemet la pikipiki tu ajali ikitokea linakuokoa na halina madhara kwa mtumiaji wala jamii kwa ujumla.
Hakuna kitu kinachoitwa ''element la pikipiki'' Ile kofia ngumu inaitwa ''helmet''. Kocha badilisha ''information'' (formation) bwana timu yetu inafungwa.
 
Je' ni halali kwa raia wa tanzania kumiliki MWAVULI apa tanzania.
 
Je, ni halali kwa raia wa kawaida kumiliki helmet hapa Tanzania? Kamajibu ni ndiyo, elzea kwanini. Kama jibu hapana, endelea na maswali mengine.
Jibu ni halali kumiliki maana hakuna zuio la kuwa nalo. Kama una matumizi nayo unanunua tu. Ni sawa na bullet proof. Provided haina madhara kwa jamii ukiwa na matumizi nayo unanunua tu
 
Wahusika waliwahi nambia kuwa Sheria hairuhusu kwa watu ambao sio Maofisa Usalama
 
Wahusika waliwahi nambia kuwa Sheria hairuhusu kwa watu ambao sio Maofisa Usalama
Kwahiyo hata kibali hawatoi kama ambavyo unapewa kibali unapomiliki silaha ya kawaida ambayo haina mambo mengi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…