Ni halali kwa raia wa kawaida kumiliki Bulletproof vest?

Ni halali kwa raia wa kawaida kumiliki Bulletproof vest?

Mpaka unamaliza shule hujawahi goma, mtaani huna bifu na mtu, hujawahi tembea na demu au mke wa mtu. Sasa bullet proof ya nini?

Na kama maisha yamekupiga, ukilivaa huku unanjaa, upepo ukija lazima upae.
Lilivyo zito upepo ukija utapaaje?
 
Haina msaada wowote,tunajua watu wanavaa bulletproof hivyo una mtungua kichwani tu.
 
Comment za waja zimenichekesha kwel yaan[emoji23][emoji23].Asa mtu kauliza ili ajulishwe lakni watu wana-mnanga et una hela?[emoji23]..Guys this platform have a lot of people..na matajiri tupo nao humu humu na makapuku pia wapo humu humu...kwanza utamjuaje mtu kuwa na hela au hana kupitia id fake?
 
Si ni kujilinda tu. Kwani ina madhara kwa wengine? Mie naona ni kama elemet la pikipiki tu ajali ikitokea linakuokoa na halina madhara kwa mtumiaji wala jamii kwa ujumla.

Si ni kujilinda tu. Kwani ina madhara kwa wengine? Mie naona ni kama elemet la pikipiki tu ajali ikitokea linakuokoa na halina madhara kwa mtumiaji wala jamii kwa ujumla.
Siyo "elemet", inaitwa "helmet". Samahani kwa kukusahihisha lakini tujitahidi kuandika kwa ufasaha.
 
Ndio hawatoi sababu wewe sio afisa usalama
Duh kama ndio sababu hiyo basi kazi ipo, yaani unampa mtu kibali amiliki silaha kwa ajili ya kujilinda kisha unamzuia kuvaa bullet proof?

Kwa mtazamo wangu silaha ni kwa ajili ya kumshambulia/kumtishia adui ambaye tayari unamkabili, bullet proof ingekuwa ni ulinzi mzuri zaidi kwa adui ambaye hujamuona au unamkabili huku naye ana silaha pia.
 
Back
Top Bottom