Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,445
- 7,987
- Thread starter
-
- #21
Wanafki hata msibani hawakosekani utasikia marehemu kafa kwa ngoma sasa wewe ulitaka afe na nini? bodaboda?Hela zenyewe hauna, unataka umiliki ili ujikinge na baridi?
Unajua maana ya unafiki mkuu???Wanafki hata msibani hawakosekani utasikia marehemu kafa kwa ngoma sasa wewe ulitaka afe na nini? bodaboda?
Hahaa duhHela zenyewe hauna, unataka umiliki ili ujikinge na baridi?
Lilivyo zito upepo ukija utapaaje?Mpaka unamaliza shule hujawahi goma, mtaani huna bifu na mtu, hujawahi tembea na demu au mke wa mtu. Sasa bullet proof ya nini?
Na kama maisha yamekupiga, ukilivaa huku unanjaa, upepo ukija lazima upae.
Ama kupaka mkongo na demu asije[emoji38][emoji38][emoji38][emoji6].Ni sawa na kumiliki kondom na uhakika wa dem hauna
zinauzwa wapi
Si ni kujilinda tu. Kwani ina madhara kwa wengine? Mie naona ni kama elemet la pikipiki tu ajali ikitokea linakuokoa na halina madhara kwa mtumiaji wala jamii kwa ujumla.
Siyo "elemet", inaitwa "helmet". Samahani kwa kukusahihisha lakini tujitahidi kuandika kwa ufasaha.Si ni kujilinda tu. Kwani ina madhara kwa wengine? Mie naona ni kama elemet la pikipiki tu ajali ikitokea linakuokoa na halina madhara kwa mtumiaji wala jamii kwa ujumla.
Duh kama ndio sababu hiyo basi kazi ipo, yaani unampa mtu kibali amiliki silaha kwa ajili ya kujilinda kisha unamzuia kuvaa bullet proof?Ndio hawatoi sababu wewe sio afisa usalama
Thanks for that i always wrote elemet and helmet interchangably. My apologySiyo "elemet", inaitwa "helmet". Samahani kwa kukusahihisha lakini tujitahidi kuandika kwa ufasaha.
I always "write". My apology too!Thanks for that i always wrote elemet and helmet interchangably. My apology
Me sijui ndo naulizia hapa!zinauzwa wapi