Mbona hii ni dharau kubwa sana?
Kwann wanyonge tunaonewa hivyo?hivi wazir wa elmu kaz yake ni ip?
Yaan mnafisad mpaka pesa za wanafunz wa vyuo vikuu?
Ina maana waziri wa elmu hajui kama mpaka sasa hatujapewa pesa za field tunakula nn sasa? Huu ni upuuz! haiwezekan kunyanyaswa kias hicho kama mumechoka kuongoza nchi waachie wengne maana mtatuua sasa