Ni hatari jaman hali ni mbaya vyuo vikuu

KWIBANKU

Member
Joined
May 5, 2014
Posts
35
Reaction score
3
Mbona hii ni dharau kubwa sana?
Kwann wanyonge tunaonewa hivyo?hivi wazir wa elmu kaz yake ni ip?
Yaan mnafisad mpaka pesa za wanafunz wa vyuo vikuu?
Ina maana waziri wa elmu hajui kama mpaka sasa hatujapewa pesa za field tunakula nn sasa? Huu ni upuuz! haiwezekan kunyanyaswa kias hicho kama mumechoka kuongoza nchi waachie wengne maana mtatuua sasa
 
kama na wewe ni mwanafunzi wa chuo kikuu ni sawa kabisa msipewe pesa,, uandishi wako kama mtoto wa chekechea
 
Mbona hii ni dharau kubwa sana?
Kwann wanyonge tunaonewa hivyo?hivi wazir wa elmu kaz yake ni ip?
Yaan mnafisad mpaka pesa za wanafunz wa vyuo vikuu?
Ina maana waziri wa elmu hajui kama mpaka sasa hatujapewa pesa za field tunakula nn sasa? Huu ni upuuz! haiwezekan kunyanyaswa kias hicho kama mumechoka kuongoza nchi waachie wengne maana mtatuua sasa

kwa uandishi huu wa chekechea bora mfe kabisa kuliko kuendelea kulitia taifa hili hasara. nasikitika kwamba mmecheleweshewa tu ingekuwa vizuri mngekosa kabisa maana ni kupoteza rasilimali kuwekeza kwenye zero output.
 
Ndio dada zetu wanaishiaga kuvuliwa pichu kwa hizo dhiki mweee
 
Back
Top Bottom