Ni hatari kiongozi anapoahidi kumshughulikia mtu na mapuruzai yanashangilia

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Tumemsikia Uhuru Kenyatta akiahidi kumshughulikia jaji wa mahakama ya juu nchini kwake na amekwenda mbali zaidi na kuonyesha hasira zake za wazi kwa jopo la watu wanne ambao anahisi wamemkwamisha ushindi wake

Bado mapuruzai ya hapa kwetu yapo mbele na kutamka wataenda kupiga tena kampeni na mengine yapo kimya hayasemi chochote na waliotishiwa ni wanasheria,kama jambo hilo lingetamkwa na rais wa nchi yetu ungesikia mpaka kile chama cha kisiasa na matukio kinachoongozwa na rais wa milele bi kijosimba kingebweka

Hapa tujiulize atawashughulikia vipi na yule mtu anajulikana anamiliki kundi lake la siri linaloweza kuendesha mauaji ya kinyama kama walivyofanya kwa yule mkuu wa tume,nasikitika nchi ya mapuruzai sasa wamevuliwa nguo kwa kauli yake mwenyewe kuonyesha kwamba haridhiki ila atawalipizia kisasi,huku kwetu mapuruzai mtu akinyang'anywa shamba halijaendelezwa mapuruzai makalio juu visasi mmesikia visasi hadharani nyote kimya

Natamani nchi hii inge ongozwa kama rwanda au kenya ukijifanya kukamisha maendeleo unapotea tu!

Watanzania tupunguze umbea wa kike kwa mambo ya jirani!
 
.
Sijui kwa nini elimu haiwezi kumsaidia mtanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Those are just political statements to electrify his base(trump used them a lot)..cha msingi aliheshimu mahakama na amerudi kwa campaigns

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile Alhamisi aliongea vizuri sana na kupongezwa na wengi ndani na nje ya Africa sasa kaanza kuongea pumba. Aheshimu uamuzi wa mahakama akae kimya na kupiga kampeni ya nguvu.

kenyatta anajiharibia jina
 
Ile Alhamisi aliongea vizuri sana na kupongezwa na wengi ndani na nje ya Africa sasa kaanza kuongea pumba. Aheshimu uamuzi wa mahakama akae kimya na kupiga kampeni ya nguvu.
kweli matamshi haya si ya kiongozi
 
Reactions: BAK
Kabisa Mkuu atulizane sasa au anaweza kuwaudhi hata waliomchagua mara ya kwanza.
nafikiri ameanza kutetemeka...anaona anaeza kashindwa...ndio maana anajikosesha hesmha hivi...na vile alikuwa kasifiwa kote duniani sasa amanza kuharibu
 
kenyatta anajiharibia jina
Labda alikuwa mlevi au hasira!?!? His handlers should not have let him say those things in public...Najua ni uchungu mambo yakienda usivyotarajia..Mr Atwoli kwa maoni yangu amempa ushauri mzuri😉...I am not pro Uhuru or pro Odinga just want peace for economic development...
 
Eish ,wewe jamani unaonyesha hypocrisy ya hali ya juu sana.
 
Kuna mtu anasema eti Majaji ni wakora. Eti watajua sisi ni wanaume ala? WTF is this?
 
Hawa watz wamezoea siasa zao za chipsi mayai! Hapa tumerudi kwenye kampeni! Ni jangwani kabisa ngoja usikie NASA wakianza matusi yao! Namshauri rais Kenyatta awatishe kabisa, wamemdhulumu live wakati kura anazo! Yeye ndo rais, na watasaga meno!
 
Ndio i keep telling people here uhuru and magufuli are same dictators in different constitutions but hamsikii......this guy amesomea USA ameenda europe akaona mazao ya demokrasia ilivyo vizuri.....but somehow ge still has dictatorship tendency.........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…