kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Tumemsikia Uhuru Kenyatta akiahidi kumshughulikia jaji wa mahakama ya juu nchini kwake na amekwenda mbali zaidi na kuonyesha hasira zake za wazi kwa jopo la watu wanne ambao anahisi wamemkwamisha ushindi wake
Bado mapuruzai ya hapa kwetu yapo mbele na kutamka wataenda kupiga tena kampeni na mengine yapo kimya hayasemi chochote na waliotishiwa ni wanasheria,kama jambo hilo lingetamkwa na rais wa nchi yetu ungesikia mpaka kile chama cha kisiasa na matukio kinachoongozwa na rais wa milele bi kijosimba kingebweka
Hapa tujiulize atawashughulikia vipi na yule mtu anajulikana anamiliki kundi lake la siri linaloweza kuendesha mauaji ya kinyama kama walivyofanya kwa yule mkuu wa tume,nasikitika nchi ya mapuruzai sasa wamevuliwa nguo kwa kauli yake mwenyewe kuonyesha kwamba haridhiki ila atawalipizia kisasi,huku kwetu mapuruzai mtu akinyang'anywa shamba halijaendelezwa mapuruzai makalio juu visasi mmesikia visasi hadharani nyote kimya
Natamani nchi hii inge ongozwa kama rwanda au kenya ukijifanya kukamisha maendeleo unapotea tu!
Watanzania tupunguze umbea wa kike kwa mambo ya jirani!