Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
See.....psycho!!!!!Those are just political statements to electrify his base(trump used them a lot)..cha msingi aliheshimu mahakama na amerudi kwa campaigns
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wa ni mmojawao.
Uso umemshuka shauri ya kimbelembele chake.Lissu huyo anaedai uhuru wa mahakama hapa hakanyagi
We ndo mwanamke tena jike shupwa, helewek umeandika nn kapake wanja hukoTumemsikia Uhuru Kenyatta akiahidi kumshughulikia jaji wa mahakama ya juu nchini kwake na amekwenda mbali zaidi na kuonyesha hasira zake za wazi kwa jopo la watu wanne ambao anahisi wamemkwamisha ushindi wake
Bado mapuruzai ya hapa kwetu yapo mbele na kutamka wataenda kupiga tena kampeni na mengine yapo kimya hayasemi chochote na waliotishiwa ni wanasheria,kama jambo hilo lingetamkwa na rais wa nchi yetu ungesikia mpaka kile chama cha kisiasa na matukio kinachoongozwa na rais wa milele bi kijosimba kingebweka
Hapa tujiulize atawashughulikia vipi na yule mtu anajulikana anamiliki kundi lake la siri linaloweza kuendesha mauaji ya kinyama kama walivyofanya kwa yule mkuu wa tume,nasikitika nchi ya mapuruzai sasa wamevuliwa nguo kwa kauli yake mwenyewe kuonyesha kwamba haridhiki ila atawalipizia kisasi,huku kwetu mapuruzai mtu akinyang'anywa shamba halijaendelezwa mapuruzai makalio juu visasi mmesikia visasi hadharani nyote kimya
Natamani nchi hii inge ongozwa kama rwanda au kenya ukijifanya kukamisha maendeleo unapotea tu!
Watanzania tupunguze umbea wa kike kwa mambo ya jirani!
Majibu kama haya niliyategemea kuyapata toka kwa msekure kama wewe maandaziWe ndo mwanamke tena jike shupwa, helewek umeandika nn kapake wanja huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Na akijijua huona wenzie wote wajinga!ok basi sawa
mjinga hajijui
Siku mojamoja Akili huwa zinakuja!!Ile Alhamisi aliongea vizuri sana na kupongezwa na wengi ndani na nje ya Africa sasa kaanza kuongea pumba. Aheshimu uamuzi wa mahakama akae kimya na kupiga kampeni ya nguvu.
Umejikakamua weee umeandika upuuzi ovyoTumemsikia Uhuru Kenyatta akiahidi kumshughulikia jaji wa mahakama ya juu nchini kwake na amekwenda mbali zaidi na kuonyesha hasira zake za wazi kwa jopo la watu wanne ambao anahisi wamemkwamisha ushindi wake
Bado mapuruzai ya hapa kwetu yapo mbele na kutamka wataenda kupiga tena kampeni na mengine yapo kimya hayasemi chochote na waliotishiwa ni wanasheria,kama jambo hilo lingetamkwa na rais wa nchi yetu ungesikia mpaka kile chama cha kisiasa na matukio kinachoongozwa na rais wa milele bi kijosimba kingebweka
Hapa tujiulize atawashughulikia vipi na yule mtu anajulikana anamiliki kundi lake la siri linaloweza kuendesha mauaji ya kinyama kama walivyofanya kwa yule mkuu wa tume,nasikitika nchi ya mapuruzai sasa wamevuliwa nguo kwa kauli yake mwenyewe kuonyesha kwamba haridhiki ila atawalipizia kisasi,huku kwetu mapuruzai mtu akinyang'anywa shamba halijaendelezwa mapuruzai makalio juu visasi mmesikia visasi hadharani nyote kimya
Natamani nchi hii inge ongozwa kama rwanda au kenya ukijifanya kukamisha maendeleo unapotea tu!
Watanzania tupunguze umbea wa kike kwa mambo ya jirani!
Labda alikuwa mlevi au hasira!?!? His handlers should not have let him say those things in public...Najua ni uchungu mambo yakienda usivyotarajia..Mr Atwoli kwa maoni yangu amempa ushauri mzuri😉...I am not pro Uhuru or pro Odinga just want peace for economic development...
Andika na wewe wako!