Ni hatari kiongozi anapoahidi kumshughulikia mtu na mapuruzai yanashangilia

The guy is the richest in Kenya
Has the largest lands
He was already president
His father was president

And its not like he is making extra ordinary strides for Kenya

Mbona ana katch ivo???? Nkama asipokuwa Rais atakuwa fukara!!!....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumemsikia Uhuru Kenyatta akiahidi kumshughulikia jaji wa mahakama ya juu nchini kwake na amekwenda mbali zaidi na kuonyesha hasira zake za wazi kwa jopo la watu wanne ambao anahisi wamemkwamisha ushindi wake

Bado mapuruzai ya hapa kwetu yapo mbele na kutamka wataenda kupiga tena kampeni na mengine yapo kimya hayasemi chochote na waliotishiwa ni wanasheria,kama jambo hilo lingetamkwa na rais wa nchi yetu ungesikia mpaka kile chama cha kisiasa na matukio kinachoongozwa na rais wa milele bi kijosimba kingebweka

Hapa tujiulize atawashughulikia vipi na yule mtu anajulikana anamiliki kundi lake la siri linaloweza kuendesha mauaji ya kinyama kama walivyofanya kwa yule mkuu wa tume,nasikitika nchi ya mapuruzai sasa wamevuliwa nguo kwa kauli yake mwenyewe kuonyesha kwamba haridhiki ila atawalipizia kisasi,huku kwetu mapuruzai mtu akinyang'anywa shamba halijaendelezwa mapuruzai makalio juu visasi mmesikia visasi hadharani nyote kimya

Natamani nchi hii inge ongozwa kama rwanda au kenya ukijifanya kukamisha maendeleo unapotea tu!

Watanzania tupunguze umbea wa kike kwa mambo ya jirani!
We ndo mwanamke tena jike shupwa, helewek umeandika nn kapake wanja huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe nyuzi zako huwa zinaogopesha maana mrengo ulionao ni wa ikulu na magari ya tinted
 
Eti ni hatari? Wacha awashughulikie! Malalamishi yake ni halali wamefutilia mbali uchaguzi wa rais na magavana wabunge n.k walochaguliwa kwa huo huo uchaguzi wameshaapishwa! Mtu anieleze hapo kunaendaje? Rais Kenyatta ni binadamu pia!
 
Ile Alhamisi aliongea vizuri sana na kupongezwa na wengi ndani na nje ya Africa sasa kaanza kuongea pumba. Aheshimu uamuzi wa mahakama akae kimya na kupiga kampeni ya nguvu.
Siku mojamoja Akili huwa zinakuja!!
 
Tumemsikia Uhuru Kenyatta akiahidi kumshughulikia jaji wa mahakama ya juu nchini kwake na amekwenda mbali zaidi na kuonyesha hasira zake za wazi kwa jopo la watu wanne ambao anahisi wamemkwamisha ushindi wake

Bado mapuruzai ya hapa kwetu yapo mbele na kutamka wataenda kupiga tena kampeni na mengine yapo kimya hayasemi chochote na waliotishiwa ni wanasheria,kama jambo hilo lingetamkwa na rais wa nchi yetu ungesikia mpaka kile chama cha kisiasa na matukio kinachoongozwa na rais wa milele bi kijosimba kingebweka

Hapa tujiulize atawashughulikia vipi na yule mtu anajulikana anamiliki kundi lake la siri linaloweza kuendesha mauaji ya kinyama kama walivyofanya kwa yule mkuu wa tume,nasikitika nchi ya mapuruzai sasa wamevuliwa nguo kwa kauli yake mwenyewe kuonyesha kwamba haridhiki ila atawalipizia kisasi,huku kwetu mapuruzai mtu akinyang'anywa shamba halijaendelezwa mapuruzai makalio juu visasi mmesikia visasi hadharani nyote kimya

Natamani nchi hii inge ongozwa kama rwanda au kenya ukijifanya kukamisha maendeleo unapotea tu!

Watanzania tupunguze umbea wa kike kwa mambo ya jirani!
Umejikakamua weee umeandika upuuzi ovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda alikuwa mlevi au hasira!?!? His handlers should not have let him say those things in public...Najua ni uchungu mambo yakienda usivyotarajia..Mr Atwoli kwa maoni yangu amempa ushauri mzuri😉...I am not pro Uhuru or pro Odinga just want peace for economic development...
 
Attachments

Back
Top Bottom