daza steven
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 361
- 361
Dunia nzima inapita katika kipindi kigumu sana kisiasa, kiuchumi na kijamii. Shughuli zote za kijamii, kiuchumi na kisiasa zinafanyika kwa ugumu sana. Tumeshuhudia shule zikifungwa, ndege haziingii wala kutoka, utalii ukisimama mabisa, biashara zikidorola, hofu ya ugonjwa na matumaini ya maisha kiuchumi unatawala miongoni mwa Watanzania.
Wakati haya mabadiliko makubwa na hatari yanatokea sisi tunataka kubadilisha baba au kiongozi mkuu wa nchi hii ni hatari sana kwani uchaguzi pekee ni hatari hasa katika uchaguzi wa mfumo wa vyama vingi. Kwa mfano kama tupo safarini katika basi na gari likianza kuyumba huwa tunajishikilia katika viti au machuma maalumu katika gari sasa itakuwa ujinga kwa watanzania wakati dunia inayumba sisi pia ndani tunajiyumbisha badala ya kujishikilia eti kwa sababu za kisiasa, naomba hekima sasa itumike.
Ninawaasa wanasiasa wenzangu na wadau wote tumuweke Mungu mbele hakuna wakati wa kuwa kitu kimoja kama kipindi hiki cha janga hili la Korona kwani tukivuka salama ni rahisi kurudi katika maisha ya kawaida. Napenda kukiomba chama tawala kubadili misimamo yakekuelekea uchaguzi mkuu 2020 kwani usalama wa taifa zima ni muhimu kuliko uchaguzi wa Raisi. Inamaana gani anachaguliwa Raisi mwingine anaingia madarakani wakati nchi iko ziii hakuna ndege inayoruka, hakuna biashara, hakuna utalii, shule zimefungwa, watu wamefungiwa ndani hii haina maana. na kama kunamtu anataka pia kugombea uraisi kipindi hiki basi huyo anauchu wa madaraka au maslai binafsi au ni maslahi kikundi cha watu wachache. Stabiliti ya nchi kisiasa ni muhimu sana kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote.
Naomba Chama Cha Mapinduzi, Chadema, CUF, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na vingine kunahaja ya kukaa pamoja na kuweka sawa jambo hili kwa manufaa mapana ya taifa letu, nashukuru nilipata kuonana na mmoja wa kiongozi wa chama alionyesha kukubaliana na hili naye aliniambia kwa masilai yake binafsi na chama chake halipendezi lakini kwa maslai mapana ya taifa linafaa.
Nimeamua kuwaandikia barua wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi, Chama Cha Democrasia na Maendeleo, Civil United Front, NCCR Mageuzi, ACT wazalendo hili mkubaliane na hekima itumike hasa katika kipindi hiki kigumu cha janga hili la corona duniani, wote kwa umoja wetu tukubaliane kwa maslai mapana ya taifa hili, na ndugu yetu Joni Pombe Magufuli aendelee ili atuvushe katika hiki kipindi cha hatari.
Nawasilisha
Daza Ndaga 0714 733 111
Kwani hiyo 2035 ndio mwisho wa uhai, kama bado tuendeleetu.Kwani hata wakitangaza mshindi bila kufanya uchaguzi kunatatizo gani?au wafanye uchaguzi hadi 2035 kuna shida?
Dunia nzima chaguzi zimesimama kwa kupisha Corona usijali ni dunia si sisiUchaguzi unafanyika kama kawaida,siku moja kabla ya kutangaza matokea tunawekwa lock down then matokeo yanatangazwa tukiwa lockdown,
Kwisha habari,,CCM bana!!!!,
Nawaza tu ila sio kweli,,,!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mgaya kuwa mzalendo wa nchi yako Magu atapita, Mbowe atapita na wewe pia utapita tanua mawazo kwa maslai mapana ya wajukuu wa vitukuu vyako ushindani wa vyama vyetu si busara kwa sasa.Ninyi vijana wa Lumumba bwana, mkishapewa buku saba zenu ni kuja huku na kuanza kuwakaririsha Watanzania vitu ambavyo havipo sisi tunachohitaji ni tume huru kwanza na uchaguzi ni constant!!! No hate, No fear!!
Nakubaliana na wewe kuwa endapo tishio la janga la COVID-19 litaendelea kuwa tishio kwa Watanzania hadi ifikapo tarehe ya uchaguzi, basi kutakuwa na kila sababu ya kuaihirisha uchaguzi huu mpaka 2021.Dunia nzima inapita katika kipindi kigumu sana kisiasa, kiuchumi na kijamii. Shughuli zote za kijamii, kiuchumi na kisiasa zinafanyika kwa ugumu sana. Tumeshuhudia shule zikifungwa, ndege haziingii wala kutoka, utalii ukisimama mabisa, biashara zikidorola, hofu ya ugonjwa na matumaini ya maisha kiuchumi unatawala miongoni mwa Watanzania.
Wakati haya mabadiliko makubwa na hatari yanatokea sisi tunataka kubadilisha baba au kiongozi mkuu wa nchi hii ni hatari sana kwani uchaguzi pekee ni hatari hasa katika uchaguzi wa mfumo wa vyama vingi. Kwa mfano kama tupo safarini katika basi na gari likianza kuyumba huwa tunajishikilia katika viti au machuma maalumu katika gari sasa itakuwa ujinga kwa watanzania wakati dunia inayumba sisi pia ndani tunajiyumbisha badala ya kujishikilia eti kwa sababu za kisiasa, naomba hekima sasa itumike.
Ninawaasa wanasiasa wenzangu na wadau wote tumuweke Mungu mbele hakuna wakati wa kuwa kitu kimoja kama kipindi hiki cha janga hili la Korona kwani tukivuka salama ni rahisi kurudi katika maisha ya kawaida. Napenda kukiomba chama tawala kubadili misimamo yakekuelekea uchaguzi mkuu 2020 kwani usalama wa taifa zima ni muhimu kuliko uchaguzi wa Raisi. Inamaana gani anachaguliwa Raisi mwingine anaingia madarakani wakati nchi iko ziii hakuna ndege inayoruka, hakuna biashara, hakuna utalii, shule zimefungwa, watu wamefungiwa ndani hii haina maana. na kama kunamtu anataka pia kugombea uraisi kipindi hiki basi huyo anauchu wa madaraka au maslai binafsi au ni maslahi kikundi cha watu wachache. Stabiliti ya nchi kisiasa ni muhimu sana kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote.
Naomba Chama Cha Mapinduzi, Chadema, CUF, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na vingine kunahaja ya kukaa pamoja na kuweka sawa jambo hili kwa manufaa mapana ya taifa letu, nashukuru nilipata kuonana na mmoja wa kiongozi wa chama alionyesha kukubaliana na hili naye aliniambia kwa masilai yake binafsi na chama chake halipendezi lakini kwa maslai mapana ya taifa linafaa.
Nimeamua kuwaandikia barua wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi, Chama Cha Democrasia na Maendeleo, Civil United Front, NCCR Mageuzi, ACT wazalendo hili mkubaliane na hekima itumike hasa katika kipindi hiki kigumu cha janga hili la corona duniani, wote kwa umoja wetu tukubaliane kwa maslai mapana ya taifa hili, na ndugu yetu Joni Pombe Magufuli aendelee ili atuvushe katika hiki kipindi cha hatari.
Nawasilisha
Daza Ndaga 0714 733 111
Aisee hapo sijui Katiba yetu inasemaje.....!!Nakubaliana na wewe kuwa endapo tishio la janga la COVID-19 litaendelea kuwa tishio kwa Watanzania hadi ifikapo tarehe ya uchaguzi, basi kutakuwa na kila sababu ya kuaihirisha uchaguzi huu mpaka 2021.
Lakini pia kwa kuwa uongozi uliopo utakuwa umemaliza muda wa kikatiba wa kubaki madarakani, iwapasa waondoke ili uchaguliwe uongozi wa mpito, pengine kutoka mhimili wa mahakama ili ndio upewe dhamana ya kutuvusha ktk kipindi hicho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama 2035 tutaendelea kuwepo,basi tusifanye uchaguzi hadi waliopo wamalize muda wao wa kuishi hapa duniani.
Kijana wa Msamvu Nyandira@Morogoro. Nazikumbuka harakati zako mkiwa hasimu na Makko pale Ushirika hatimaye ukarudi kundini.Dunia nzima inapita katika kipindi kigumu sana kisiasa, kiuchumi na kijamii. Shughuli zote za kijamii, kiuchumi na kisiasa zinafanyika kwa ugumu sana. Tumeshuhudia shule zikifungwa, ndege haziingii wala kutoka, utalii ukisimama mabisa, biashara zikidorola, hofu ya ugonjwa na matumaini ya maisha kiuchumi unatawala miongoni mwa Watanzania.
Wakati haya mabadiliko makubwa na hatari yanatokea sisi tunataka kubadilisha baba au kiongozi mkuu wa nchi hii ni hatari sana kwani uchaguzi pekee ni hatari hasa katika uchaguzi wa mfumo wa vyama vingi. Kwa mfano kama tupo safarini katika basi na gari likianza kuyumba huwa tunajishikilia katika viti au machuma maalumu katika gari sasa itakuwa ujinga kwa watanzania wakati dunia inayumba sisi pia ndani tunajiyumbisha badala ya kujishikilia eti kwa sababu za kisiasa, naomba hekima sasa itumike.
Ninawaasa wanasiasa wenzangu na wadau wote tumuweke Mungu mbele hakuna wakati wa kuwa kitu kimoja kama kipindi hiki cha janga hili la Korona kwani tukivuka salama ni rahisi kurudi katika maisha ya kawaida. Napenda kukiomba chama tawala kubadili misimamo yakekuelekea uchaguzi mkuu 2020 kwani usalama wa taifa zima ni muhimu kuliko uchaguzi wa Raisi. Inamaana gani anachaguliwa Raisi mwingine anaingia madarakani wakati nchi iko ziii hakuna ndege inayoruka, hakuna biashara, hakuna utalii, shule zimefungwa, watu wamefungiwa ndani hii haina maana. na kama kunamtu anataka pia kugombea uraisi kipindi hiki basi huyo anauchu wa madaraka au maslai binafsi au ni maslahi kikundi cha watu wachache. Stabiliti ya nchi kisiasa ni muhimu sana kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote.
Naomba Chama Cha Mapinduzi, Chadema, CUF, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na vingine kunahaja ya kukaa pamoja na kuweka sawa jambo hili kwa manufaa mapana ya taifa letu, nashukuru nilipata kuonana na mmoja wa kiongozi wa chama alionyesha kukubaliana na hili naye aliniambia kwa masilai yake binafsi na chama chake halipendezi lakini kwa maslai mapana ya taifa linafaa.
Nimeamua kuwaandikia barua wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi, Chama Cha Democrasia na Maendeleo, Civil United Front, NCCR Mageuzi, ACT wazalendo hili mkubaliane na hekima itumike hasa katika kipindi hiki kigumu cha janga hili la corona duniani, wote kwa umoja wetu tukubaliane kwa maslai mapana ya taifa hili, na ndugu yetu Joni Pombe Magufuli aendelee ili atuvushe katika hiki kipindi cha hatari.
Nawasilisha
Daza Ndaga 0714 733 111
Katiba ya Tanzania haizungumzi lolote kuhusu Serikali ya Mpito. Bali inasema Rais aliyepo madarakani atakoma kuwa Rais pale Rais mpya atakapoapishwa. Hivyo basi, endapo uchaguzi utaahirishwa (na siombei litokee) Rais Magufuli ataendelea kuwa Rais wa JMT.Nakubaliana na wewe kuwa endapo tishio la janga la COVID-19 litaendelea kuwa tishio kwa Watanzania hadi ifikapo tarehe ya uchaguzi, basi kutakuwa na kila sababu ya kuaihirisha uchaguzi huu mpaka 2021.
Lakini pia kwa kuwa uongozi uliopo utakuwa umemaliza muda wa kikatiba wa kubaki madarakani, iwapasa waondoke ili uchaguliwe uongozi wa mpito, pengine kutoka mhimili wa mahakama ili ndio upewe dhamana ya kutuvusha ktk kipindi hicho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Du. poa homeboy naona umenisoma asanteKijana wa Msamvu Nyandira@Morogoro. Nazikumbuka harakati zako mkiwa hasimu na Makko pale Ushirika hatimaye ukarudi kundini.
Akili ndefu na kubwa pekee ndio zitakuelewa una-propose nini ukiazimia kutanguliza utu bila kujali Naslahi ya Uvyama ili tupambane na kulinda uhai wa Wanajamii wa TAIFA hili kwanza ndipo Sasa zifate.
Nchi na Dunia kwa sasa site tuko kwenye Vita na adui ni hili gonjwa, sasa kazi ya Amiru Jeshi yeyote kwa TAIFA lake ni kupambana na hii Pandemic ndipo sasa zifate.
Tuombe Mungu hali iwe stabilized na ndipo tutajua kuwa tunaendelea na Sasa za Chaguzi ama Siasa za hili gonjwa linalouwa watu na kuharibu Uchumi wa Mataifa karibu yote Duniani.
Ni mtazamo wako binafsi hii imetokana na wengi wenu kuweka uchama mbele kuliko taita hivyo lazima utafute vitu vingi vya kulinda chama chako au maslai ya chama chakoNilivyoona heading ya thread tu, nilijua mleta mada lazima atakuwa amesign off na namba ya simu. Wisdom will surely kill me one of these days😎
Anaeongelea vyama ni wewe maana mimi sijasema chochote. Endelea kulinda chama chako tu, sio kosa kisheria na una haki zote kufanya hivyoNi mtazamo wako binafsi hii imetokana na wengi wenu kuweka uchama mbele kuliko taita hivyo lazima utafute vitu vingi vya kulinda chama chako au maslai ya chama chako