Ni hatari kufanya uchaguzi wa Rais katika kipindi hiki cha COVID 19

Uchaguzi mwezi October we hofu yako nn,maandalizi yaendelee Kama kawaida vipi Kama ugonjwa ukiisha kabla ya mwezi wa kumi je.Uchaguzi ni Jambo kubwa na muhimu katika nchi ni sawa na familia kupata mtoto mpya.Zipo njia nyingi hata kwa simu itatengenezwa App ya uchaguzi tutapiga.Huu ugonjwa ni mitihani ya Mwenyezi Mungu kutuonyesha sisi wanadamu si lolote si chochote hasa hao watu weupe kuwarudisha kwenye mstari wajue kwamba Mungu yupo thus kwenye machafu umepiga Sana kama wameacha asili na kufikia kuoana jinsia moja bila kuwapa adhabu watarudi vipi kwenye mstari.Bora mengine yahairishwe na sio uchaguzi.
 
Umepata wapi guts za kupingana kauli ya Mh.Rais wewe mleta mada? Huu ni uhaini na ukosefu wa nidhamu..Mh.Rais anasema uchaguzi upo pale pale eti anajitokeza mtu na kusema tusifanye uchaguzi.... Aiseee
Ibara ya 18 ndiyo pekee inayonipa hizo guts za kupingana na Mhs. Rais na ndiyo ninacho kiamini mimi kwa sasa.
 
Mimi nimekuelewa sana, tutafanya wa wabunge na madiwani tu
 
Mimi nimekuelewa sana, tutafanya wa wabunge na madiwani tu
lakini kama tutafuata ushauri wa watu wa afya na makubaliano ya kikatiba kulidhiwa kutumia mitandao au wawakilishi wachache kupiga kura mfano uteuzi ndani ya vyama.
 
Dunia nzima chaguzi zimesimama kwa kupisha Corona usijali ni dunia si sisi

Uko sahihi, lakini rais asiwe Magufuli, bali nchi iongozwe na jaji Mkuu au Mkuu wa majeshi. Pia wakati huo tunataka rasimu ya Warioba ndiyo iwe katiba mpya maana ni maoni yetu wananchi. Kinyume na hapo uchaguzi uko palepale, tena uwe chini ya tume huru ya uchaguzi fullstop.
 
Umepata wapi guts za kupingana kauli ya Mh.Rais wewe mleta mada? Huu ni uhaini na ukosefu wa nidhamu..Mh.Rais anasema uchaguzi upo pale pale eti anajitokeza mtu na kusema tusifanye uchaguzi.... Aiseee
Tuliomuweka ni sisi na tukiamua abaki hadi hali iwe stable hakuna wa kitupinga sababu ana wajibu wa kulinda uhai wa wananchi wake
 
Huyo katumwa kutoka juu kuja kupima upepo kwa pua.
 
Nawasilisha
Daza Ndaga 0714 733 111
Uchaguzi upo pale pale
Tutapiga kampeni kwa tv live kila chama kitapewa aitime sawa TBC,tutapiga kura foleni mtu na mtu umbali mita moja
Harakati zenu za kuwaweka watu majumbani zimefeli,mnaomba uchaguzi uahirishwe?
Mmegundua kwamba hali ikiwa shwari yu watu hawaji,sembuse sasa kuna corona?
Andaeni wafuasi wenu,uchaguzi upo pale pale
 
Tuliomuweka ni sisi na tukiamua abaki hadi hali iwe stable hakuna wa kitupinga sababu ana wajibu wa kulinda uhai wa wananchi wake
Unaota bila shaka...eti tulimuweka kwikwiiwkwwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…