Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Zamani Chadema ilikuwa imesheheni vichwa makini, walikuwa watu kama profesa Safari, Profesa Baregu. Hawa ndo walikuwa thinktanks na washauri wa Chama.
Leo inasikitisha chama kimebaki na wahuni kama Ntobi, kijana anayetukana matusi ya wazi viongozi wa chama. Yeye mtu mwenye thamani kwake ni mwenyekiti tu sababu anaweza kumbania ugali wake.
Na huyu Ntobi hajaanza leo, hata huko nyuma ashawavunjia heshima viongozi wengine wa chama. Anawatukana matusi mazito ya nguoni.
Leo Ntobi anawatangazia Waranzania kuwa CHADEMA mwaka 2020 haikusimamisha mtu sahihi wa kuongoza nchi. Madai yake haya yanawafanya wananchi waone kuwa ilikuwa sahihi Magufuli kuwashughulikia CHADEMA kwa sababu ni wahuni.