Ile ilikuwa kete sahihi kwa kuipasua ccm hapo mbowe simlaumu ila walishindwa kujua muendelezo wake jinsi ya kuisukuma baada ya jembe JPM kushika nchi wakaanza kushikama na mafisadi na kuunga mkono mafisadi dhidi ya jpm ...kosa kubwa
Tuliwashauri sana wakae kimya JPM awashughulikie maCCM kwanza mpaka walie nyauuuuu!!!!
Hawakusikia wakajichanganya bila kujua kuwa walikua wananunua ugomvi wa familia ya mafisadi ndani ya CCM Mfumo wa kibepari kwenye nchi kijamaa hauwezi kujengwa bila kusimamia sheria. Mabepari wanajiona ni miungu watu kwenye dunia hii hivyo wanapaswa kuwekewa sheria kali na kuifuata kwa Lazima . Na pale wanapokinzana na sheria wanatakiwa wakutane na hasara kubwa ya kiuchumi bila hivyo Mabepari wanageuka kuwa wahalifu na wauaji kulinda maslahi yao.
Matokeo yake wamerejea kwenye kiti na kuwapa unafuu mafisadi na sasa kila kitu bei juu.
Mfano tu Nauli ya kwenda Arusha wakati wa JPM ilikua iko chini sana leo kwa bei ya LATRA ni karibu mara mbili ya ile ya wakati wa JPM.
Umeme uko bei Juu wakati Bwawa la Nyerere limeanza kuzalisha . Umeme kwa siku moja hakuna anayejua kuwa unaingiza sh. ngapi TANESCO pamoja na kodi na tizi zake. Wanachojua ni kiasi tu cha umeme unaozalishwa ila unapouzwa hawajawahi kusema .
Ngoja aje Rais Mzalendo Tundu Antipas Lisu na Waziri Mkuu Mpina ,Waziri wa Fedha Zito ,Waziri wa Viwanda na Biashara Freeman Mbowe.
Wanawake jinsia na watoto Halima Jemsi Mdee, Utamaduni na michezo Sugu ,
Mambo ya ndani Godluck Lema , Ulinzi, Karibu mkuu Dr.Slaa, Makamu wa Rais Salimu Mwalimu ,Tamisemi John Mnyika , Msemaji wa serikali Pascal Mayalla (Ataimarisha Demokrasia kwa waandishi wa Habari ) na wengine .1000 digits atakua mshauri wa Rais mambo ya umoja na mshikamano