Ni hatua gani unatakiwa kuzifata ili kurenew lesseni? Inachukua muda gani na kugharimu kiasi gani?

Brown Mduma

Senior Member
Joined
Sep 29, 2020
Posts
180
Reaction score
284
Lesseni yangu ya udereva ime expire leo tar 8/12/2021 nilikuwa nataka kujua kwamba naweza itumia hadi January ndio nibadilishe? Kingine ni kwamba ni process gani unatakiwa kuzifata ili kurenew lessen na ni sh.ngap vilevile inachukua mda gan kupata nyingine
 
Kuanzia saa sita na dakika moja usiku utakuwa HUNA LESENI. Sasa kama unafikiri unaweza kuendesha bila leseni endelea.
 
Mkuu fika kituo Cha polis muone veko ama fika ofisi za TRA utapata msaada
 
Lesseni yangu ya udereva ime expire leo tar 8/12/2021 nilikuwa nataka kujua kwamba naweza itumia hadi January ndio nibadilishe? Kingine ni kwamba ni process gani unatakiwa kuzifata ili kurenew lessen na ni sh.ngap vilevile inachukua mda gan kupata nyingine
Nenda tiaraei(TRA) chap.
 
Kuanzia saa sita na dakika moja usiku utakuwa HUNA LESENI. Sasa kama unafikiri unaweza kuendesha bila leseni endelea.
Hivi mkuu nikikaa muda mrefu bila kurenew lessen yangu kuna athari gani(kama fine,etc) ikiwa siendeshi chombo chochote cha moto?
 
Lesseni yangu ya udereva ime expire leo tar 8/12/2021 nilikuwa nataka kujua kwamba naweza itumia hadi January ndio nibadilishe? Kingine ni kwamba ni process gani unatakiwa kuzifata ili kurenew lessen na ni sh.ngap vilevile inachukua mda gan kupata nyingine
Andaa 70,000 kila kitu kitakuwa kimekwisha...
 
Lesseni yangu ya udereva ime expire leo tar 8/12/2021 nilikuwa nataka kujua kwamba naweza itumia hadi January ndio nibadilishe? Kingine ni kwamba ni process gani unatakiwa kuzifata ili kurenew lessen na ni sh.ngap vilevile inachukua mda gan kupata nyingine
Elfu 70,wiki mbili tu,na ikiwa tayari unapata sms automatic.
 
Mimi nilienda kurenew pale TRA Morogoro, baada ya masaa mawili tu nikapewa leseni mpya chap. Andaa elfu 70 tu.
 
Mnisaidie process leseni yangu ilipotea miaka miwili nyuma nataka kurenew baada ya kupata gari naanzia wapi?
Pia je nitahitaji loss report?
(muda wa ku expire bado mwaka mzima)
 
Nenda polisi. Waambie hiyo leseni umepoteza jana au umeipoteza jmosi kama utaenda huko jtatu. Nafikiri utahitaji kuwa na kitambulisho, mambo mengine utajua huko huko polisi. Ila kupata leseni mpya andaa 70k pia
 
Back
Top Bottom