Brown Mduma
Senior Member
- Sep 29, 2020
- 180
- 284
Kuanzia saa sita na dakika moja usiku utakuwa HUNA LESENI. Sasa kama unafikiri unaweza kuendesha bila leseni endelea.Lesseni yangu ya udereva ime expire leo tar 8/12/2021 nilikuwa nataka kujua kwamba naweza itumia hadi January ndio nibadilishe? Kingine ni kwamba ni process gani unatakiwa kuzifata ili kurenew lessen na ni sh.ngap vilevile inachukua mda gan kupata nyingine
Mkuu fika kituo Cha polis muone veko ama fika ofisi za TRA utapata msaadaLesseni yangu ya udereva ime expire leo tar 8/12/2021 nilikuwa nataka kujua kwamba naweza itumia hadi January ndio nibadilishe? Kingine ni kwamba ni process gani unatakiwa kuzifata ili kurenew lessen na ni sh.ngap vilevile inachukua mda gan kupata nyingine
Nenda tiaraei(TRA) chap.Lesseni yangu ya udereva ime expire leo tar 8/12/2021 nilikuwa nataka kujua kwamba naweza itumia hadi January ndio nibadilishe? Kingine ni kwamba ni process gani unatakiwa kuzifata ili kurenew lessen na ni sh.ngap vilevile inachukua mda gan kupata nyingine
Hivi mkuu nikikaa muda mrefu bila kurenew lessen yangu kuna athari gani(kama fine,etc) ikiwa siendeshi chombo chochote cha moto?Kuanzia saa sita na dakika moja usiku utakuwa HUNA LESENI. Sasa kama unafikiri unaweza kuendesha bila leseni endelea.
Ikizidi miaka miwili inabidi uanze upya sio ku-renew tena.Hivi Kaka nikikaa muda mrefu bila kurenew lessen yangu kuna athari gani(kama fine,etc) ikiwa siendeshi chombo chochote cha moto?
Andaa 70,000 kila kitu kitakuwa kimekwisha...Lesseni yangu ya udereva ime expire leo tar 8/12/2021 nilikuwa nataka kujua kwamba naweza itumia hadi January ndio nibadilishe? Kingine ni kwamba ni process gani unatakiwa kuzifata ili kurenew lessen na ni sh.ngap vilevile inachukua mda gan kupata nyingine
Elfu 70,wiki mbili tu,na ikiwa tayari unapata sms automatic.Lesseni yangu ya udereva ime expire leo tar 8/12/2021 nilikuwa nataka kujua kwamba naweza itumia hadi January ndio nibadilishe? Kingine ni kwamba ni process gani unatakiwa kuzifata ili kurenew lessen na ni sh.ngap vilevile inachukua mda gan kupata nyingine
nowdays ni 48 hours tu. nilienda j5 ijumaa nikafata leseni yangu.Elfu 70,wiki mbili tu,na ikiwa tayari unapata sms automatic.
Nenda polisi. Waambie hiyo leseni umepoteza jana au umeipoteza jmosi kama utaenda huko jtatu. Nafikiri utahitaji kuwa na kitambulisho, mambo mengine utajua huko huko polisi. Ila kupata leseni mpya andaa 70k piaMnisaidie process leseni yangu ilipotea miaka miwili nyuma nataka kurenew baada ya kupata gari naanzia wapi?
Pia je nitahitaji loss report?
(muda wa ku expire bado mwaka mzima)