The_Emperor
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 871
- 125
Habari yako ndugu mwanajamii?
Ngoja niende kwenye swali moja kwa moja maana wengi wetu ni wavivu wa kusoma.
Hivi ni taratibu gani(kisheria) ambao mtu anapaswa kuufuata pale ambapo jambazi atakua ameuawa ndani ya himaya yako?Kwa mfano umevamiwa na majambazi nyumbani kwako ikabidi utumie silaha uliyo nayo na kwa bahati nzuri ukawa umewapa dawa yao!Je,ni nini cha kufanya hapo?