DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
WAKUU,
Ni siku nyingine Tena kwenye jukwaa letu pendwa la ujenzi, tunazidi kupeana maujanja na kushea uzoefu mbalimbali.
Binafsi ntaanza hivi.
1. Gharama za uchimba msingi,
Hii gharama Huwa siipendi Na nahs natapaeliwa TU na mafundi, maana ni sehemu ya majukumu ya fundi kwenye pesa nnayomlipa ya kunijengea msingi. Uwezi kunambia utanijengea msingi bila kuuchimba Kwanza. Huwa nalipia Basi TU shingo upande
2. Gharama ya Kujaza kifusi na kupanga mawe/vipande Kwa ajili ya sakafu.
Huwezi kunambia utanijengea floor (sakafu) bila Kujaza kifusi na kupanga vipande kwanza. Haiingii akilini nakulipa pesa unijengee floor afu unafika saiti unasema Kazi ya kujaza kifusi na kupanga vipande juu ya kifusi sio Yako. Hapa Huwa nalipia Basi TU, Ila najua mafundi wananitapeli.
3. Gharama ya kulipia kibali Cha ujenzi,
Hapa Huwa nawachukia sana viongozi wa serikali,maana naona kabisa Ile pesa uwa inakwenda bure tu na Haina michango wowote kwenye maendeleo ya ujenzi wangu.
4. Kulipia upachikaji WA box za switch na mabomba ya umeme na mabomba ya maji kipindi cha plasta.
Unakuta tyr ushaanda vifaa vyako saiti,ili anapochapia plasta aunganishe, Ila fundi plasta anakwambia sio jukumu lake, unapaswa kulipia. Ukimfata fundi umeme achapie,na yeye anataka umlipe, na pesa utakayomlipa, MALIPO yake anakwambia ni tofauti kabisa na pesa ya kufanyia wayaring kwenye Nyumba Yako.
5. Ujenzi WA shimo la choo,
WAKUU shimo la choo linatafuna sana pesa, na pesa ya shimo Mara nyingi kwenye tathmini za awali za ujenzi wa Nyumba uwa linahaulika kabisa. Wengi wetu hatulitilii maanani na tunakutana na gharama zake tukiwa saiti. Ile pesa inauma balaa, ukzingatia Kinaenda kukaa kinyesi TU mule.
Wengine mnaweza kuendelea wakuu....