Mkuu naomba niishie hapa, naona umeingia na majibu kwenye mtihaniKinachokufanya usipende timu nyingine au usiachane na Mapenzi ya Mwanzo ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naomba niishie hapa, naona umeingia na majibu kwenye mtihaniKinachokufanya usipende timu nyingine au usiachane na Mapenzi ya Mwanzo ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hufai kuwa mshabiki utabaki kuwa mshagiliajiNinajiuliza swali. Ni hatua zipi muhimu za mtu hupitia Hadi kujinasibu kuwa yeye ni shabiki Wa timu fulani?
2.Je kuna Kosa gani kwa shabiki Huyo kuamua Kubadili gear angani na kujiunga na timu nzuri ya msimu husika?
3.Kocha anahama timu, wachezaji unaowapenda wote wanahama wewe unashabikia nini?
4.Ushabiki Wa kizamani unakufanya ufe na timu moja
5.Ushabiki Wa kisasa,chagua timu Mwanzo Wa msimu angalia usajili angalia kocha jihakikishie furaha kwa mwaka mzima
6. Sii Kosa shabiki kuwa na timu mbili hata tatu ndani ya nchi moja mfano,mm msimu ujao kwa Tanzânia Nitakuwa shabiki Wa Yanga na Singida united.
Uingereza Nitakuwa Man U na Chelsea
Spain Nipo Madrid
Kombe lá Dunia Brazil na UK
Unaona nimejihakikishia raha mwaka mzima sina presha
Wewe baki na Katimu kako kamoja kanakupa pressa huna raha. Njoo kwenye ushabiki Wa kisasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nieleze hatua ulizopitia Hadi ukapasishwa kuwa wewe ni shabiki, inawezekana bado wewe ni mtazamaji na huwezi ukawa mshangiliaji kwakuwa hicho ni cheo chá mashabiki woteHufai kuwa mshabiki utabaki kuwa mshagiliaji