Uchaguzi 2020 Ni hatua zipi za kisheria ambazo Tume (NEC) ina mamlaka dhidi ya mgombea anayetaka kusababisha uvunjifu wa amani?

Ni mali yetu watanzania tuliyopewa na Mwenyezi Mungu. Bado hujaelewa?
Hahaaaaaa hizo ni mali za wenye mamlaka ndio maana hazina faida kwako. Kila kitu unalipia alafu unasema mali zenu...labda kama upo kwenye mamlaka
 
Kanuni zenyewe,achilia Sheria ambazo ndio sababu ya kanuni unazosemea zinaandaliwa kwa miswaada ya hati za dharura kwa makengo mahsusi,kwa mazingira mahsusi. Unatarajia Nini.Japo sikatai Hilo ila Mara nyingi zipo Nia ovu nyuma take.
 
Hahaaaaaa hizo ni mali za wenye mamlaka ndio maana hazina faida kwako. Kila kitu unalipia alafu unasema mali zenu...labda kama upo kwenye mamlaka
Kweli wewe huelewi maana ya natural resources aka maliasili. Yaani unasema tunalipia dhahabu, tanzanite, sangala, misitu, hewa ya oxygen, diamond etc!
 
Kheri James:Kumtukana rais wetu sasa basi, polisi tuachieni.

 

Ccm bwana
Yan hapo upinzan hawana Ela, wabunge na madiwani wao wameenguliwa kwa asilimia kubwa

Nyie mna kila kitu Lkn bado mnalialia tu
 
Mkithibitisha ana matusi mnaweza mkafungua mashtaka ili haki itendeke!
πŸ˜…
πŸ‘Š ✌✌✌πŸ’₯
 
Ma CCM yamejawa na hofu baada ya kumsikia Lissu akisema Wakurugenzi wote ni lazima wapitishe mawakala wa Chadema katika vitu vyote vya kupigia kura. Ni wazi kuwa walikua wanaandaa nao la mkono.
 
Kuna utaratibu wa kisheria unaopaswa kufuatwa ili kuwasilisha malalamiko wakati wa kampeni. Malalamiko yanawasilishwa katika kamati za Maadili ngazi mbalimbali. Malalamiko dhidi ya mgombea Urais yanawasilishwa Kamati ya Maadili ya Kitaifa hivyo Mgombea Urais wa chama chochote anayo haki ya kuwasilisha malalamiko ndani ya saa 72 tangu kutokea kwa tukio hilo. Mambo mengine yanatakiwa yafanywe na wagombea na sio kuilaumu Tume.
 
sijawahi kuona Dr mwoga kama wewe, kwa nn usimtaje uyo mgombea.Ila najua kwa sababu ni majungu yako dhid ya uyo mgombea huwez kumtaja, sasa sidhani kama kuna tume inayoshughulika na majungu ya vijiweni.
 
Mku kura zetu mm na ww mbili kwa usiwasemee Watanzania wanajua watakayempigia. Kwa hiyo tuache muda uongee kwenye haki bila haki sijui nini kitakachofuata.Kama unavyoona walioenguliwa bila haki nini kinachoendelea kwa sass. Lisu mahitaji yake yanajulika kuwa uchaguzi uwe huru japo kuwa mm mwanaccm lakini tuache haki isimame ili tupate maendeleo dhulma haiwezi kutupa maendeleo
 
Wanaccm wenzangu huu mchezo hauitaji kukurupuka Lisu ni Mtu makini sana ndo maana ktk mangezi yake anajua anachoongea ni mwiba kwetu .
Amini Lisu ameshika kila nyanja kwani tuangalie mikutano kile anachoongea na kila akiongea anawauliza Wanachi then wajibu ni kweli yale waliyoyashudia au waliyofanyiwa na viongozi. Mfano usikilize mkutano wa jana Ifakara kwa yale aliyokua anaongea yaliwagusa Wanaifakara
 
πŸ‘ŠπŸ‘Š, safari tuna watu wanajifanya chongo na viziwi, yaani eti hawaoni wala kusikia yoote hayo.
 
πŸ‘ŠπŸ‘Š, safari tuna watu wanajifanya chongo na viziwi, yaani eti hawaoni wala kusikia yoote hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…