Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mungu amlaze pema JPMHuko nyuma pesa za umma ziliibiwa na kutafunwa kama njugu.
Maana makusanyo hayakuingia mfuko mkuu wa serikali na pesa mingi sana ilipotea mikononi mwa mafisadi
Hayati Magufuli aliazia makusanyo yote yaingie kwenye mfuko mkuu wa serikali. Leo hii taifa letu linanufaika
That is true"Sisi ni matajiri"
NonsenseJPM ALIZITAKA HIZO FEDHA ILI AKAJENGE UWANJA WA NDEGE CHATO APAFANYE MKOA.
HII NCHI IMETAWALIWA HADI NA MAGAVANA WA UJERUMAN NA UINGEREZA LAKINI HAKUJAWAHI POTEA TRILLION 1.5.
JPM ALIKUWA NA CHANGAMOTO ZAKE KIBAO TU.
Kwa mtazamo wako. Ila mjombako alikuwa kibaka tu.Nonsense
Kwa aliyofanya haki yake mpeni kila mtu ana mazuri na mabaya yakeKwa mtazamo wako.Ila mjombako alikuwa kibaka tu.
Bora yeye alikua kibaka na miradi tuliona ikifanyika Sasa Hawa wezi waliopo hakuna kitu kinafanyika zaidi ya wizi tuKwa mtazamo wako. Ila mjombako alikuwa kibaka tu.
Zzk alisha washauri mkachimbe mashimo mjifukie nyinyi wanyarwandaMungu amlaze pema JPM
PumbafThat is true
StupidNonsense
Shida si tu kukusanya au kuweka kwenye account mmoja,shida kuu hiyo pesa itatumika vipi.baada ya kupitishwa na bunge kwenda kwenye shughuli zilizopangwa.Hata kwenye mfuko wa serikali zinaweza kuibiwa
Ile 1.5tr alipeleka wapi!?Mungu amlaze pema JPM
Nyumbani kwenuIle 1.5tr alipeleka wapi!?
Ww Cheti fake kaa mbaliZzk alisha washauri mkachimbe mashimo mjifukie nyinyi wanyarwanda
Cheti feki ni babako na mamakoWw Cheti fake kaa mbali