Ni hayati Magufuli pekee aliyeweka wazi kuwa ili pesa za umma zisiibiwe zote ziingie mfuko mkuu wa Serikali. Marais waliopita huko nyuma walimezea

Ni hayati Magufuli pekee aliyeweka wazi kuwa ili pesa za umma zisiibiwe zote ziingie mfuko mkuu wa Serikali. Marais waliopita huko nyuma walimezea

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Huko nyuma pesa za umma ziliibiwa na kutafunwa kama njugu.

Maana makusanyo hayakuingia mfuko mkuu wa serikali na pesa mingi sana ilipotea mikononi mwa mafisadi

Hayati Magufuli aliazimia makusanyo yote yaingie kwenye mfuko mkuu wa Serikali. Leo hii taifa letu linanufaika.
 
Hata kwenye mfuko wa serikali zinaweza kuibiwa
Shida si tu kukusanya au kuweka kwenye account mmoja,shida kuu hiyo pesa itatumika vipi.baada ya kupitishwa na bunge kwenda kwenye shughuli zilizopangwa.
Na iwepo marejesho ya jinsi ilivyitumika ikihakiwa na mkaguzi mkuu wa karadha yaani CAG.
Lakini mambo ya one man show kunaweza pakakosekana transparency katika matumizi ya mfuko huo.Na labda ndio tatizo la 1.5 Trillion
 
Back
Top Bottom