Asante coronaNyumbani kwenu
Huko nyuma pesa za umma ziliibiwa na kutafunwa kama njugu.
Maana makusanyo hayakuingia mfuko mkuu wa serikali na pesa mingi sana ilipotea mikononi mwa mafisadi
Hayati Magufuli aliazimia makusanyo yote yaingie kwenye mfuko mkuu wa Serikali. Leo hii taifa letu linanufaika.
Shida si tu kukusanya au kuweka kwenye account mmoja,shida kuu hiyo pesa itatumika vipi.baada ya kupitishwa na bunge kwenda kwenye shughuli zilizopangwa.
Na iwepo marejesho ya jinsi ilivyitumika ikihakiwa na mkaguzi mkuu wa karadha yaani CAG.
Lakini mambo ya one man show kunaweza pakakosekana transparency katika matumizi ya mfuko huo.Na labda ndio tatizo la 1.5 Trillion
Tatizo wapwa zake hawataki kuambiwa kwamba mjomba wao alikuwa muovu.Na mimi nilivyo "mwehu" nawapa chai tu inaitwa "psychological tortures"!😂😂😂😂Kwa aliyofanya haki yake mpeni kila mtu ana mazuri na mabaya yake
Na hilo ndio kosa kubwa katika utaratibu wa utawala wa kutomwajibisha mtu yeyote anaevunja sheria.Hapo ndio ilipozaliwa neno pesa za Magufuli, na yeye akawa anavimba kichwa kabisa pesa ni zake. Hadi akawa akifika mahali anaongea kwa nyodo kuwa hapa mmechagua mpinzani, hivyo siwezi kuleta maendeleo! Kweli tulipatikana. Na ule ugonjwa bado upo, hadi chawa wa sasa wanasema ni pesa za mama.
Asante kushukuru laanaAsante corona
Ila ngoja waje team Asali usikie ujinga watakao coment kuhusu hoja yako mubashara kabisa!Huko nyuma pesa za umma ziliibiwa na kutafunwa kama njugu.
Maana makusanyo hayakuingia mfuko mkuu wa serikali na pesa mingi sana ilipotea mikononi mwa mafisadi
Hayati Magufuli aliazimia makusanyo yote yaingie kwenye mfuko mkuu wa Serikali. Leo hii taifa letu linanufaika.
Linanufaika na nini?Huko nyuma pesa za umma ziliibiwa na kutafunwa kama njugu.
Maana makusanyo hayakuingia mfuko mkuu wa serikali na pesa mingi sana ilipotea mikononi mwa mafisadi
Hayati Magufuli aliazimia makusanyo yote yaingie kwenye mfuko mkuu wa Serikali. Leo hii taifa letu linanufaika.
ShitholeKwa mtazamo wako. Ila mjombako alikuwa kibaka tu.
Kwa kiingereza huwa hayawi mazuri wala kunoga.Tumia lugha ya Taifa mkuu.😂😂😂😂Stupid
Wewe unajulikanaCha ajabu akajitoa kwenye open government! Ila jamaa kama ni kizizi cha kukamata wajinga wa aina yenu alikuwa nacho.
Yao, na hapa nazidi kuhakikisha najulikana zaidi maana sina shaka na nisemacho.Wewe unajulikana
Kwa hiyo sasa haziibiwi?Huko nyuma pesa za umma ziliibiwa na kutafunwa kama njugu.
Maana makusanyo hayakuingia mfuko mkuu wa serikali na pesa mingi sana ilipotea mikononi mwa mafisadi
Hayati Magufuli aliazimia makusanyo yote yaingie kwenye mfuko mkuu wa Serikali. Leo hii taifa letu linanufaika.
Chuki zako kwa hayati zinajulikana. Kila jema alilofanya wewe unapingaYao, na hapa nazidi kuhakikisha najulikana zaidi maana sina shaka na nisemacho.
Chuki zako kwa hayati zinajulikana. Kila jema alilofanya wewe unapinga
Ungojwa wa mchafu kuoga umekufika kichwani na hili giza la mgao wa umeme lazima uwe kichaa na uropoke hovyo.Nabado kuoga msahau.Kwa mtazamo wako. Ila mjombako alikuwa kibaka tu.
Mkuu kiswahili kinakupiga chenga au unatetemeka wakati wa kuandika sababu ya kupiga punyeto?Ungojwa wa mchafu kuoga umekufika kichwani na hili giza la mgao wa umeme lazima uwe kichaa na uropoke hovyo.Nabado kuoga msahau.
Mbona huyo zzk hakujifukia na mama yake waliokuwa wanawanga wote,Badala yake akabaki dunia kuwa chawa.Zzk alisha washauri mkachimbe mashimo mjifukie nyinyi wanyarwanda
Punyeto wanapiga wanaume kamili sio shoga kama wewe.Mkuu kiswahili kinakupiga chenga au unatetemeka wakati wa kuandika sababu ya kupiga punyeto?