Ni hayati Magufuli pekee aliyeweka wazi kuwa ili pesa za umma zisiibiwe zote ziingie mfuko mkuu wa Serikali. Marais waliopita huko nyuma walimezea

Huko nyuma pesa za umma ziliibiwa na kutafunwa kama njugu.

Maana makusanyo hayakuingia mfuko mkuu wa serikali na pesa mingi sana ilipotea mikononi mwa mafisadi

Hayati Magufuli aliazimia makusanyo yote yaingie kwenye mfuko mkuu wa Serikali. Leo hii taifa letu linanufaika.

Cha ajabu akajitoa kwenye open government! Ila jamaa kama ni kizizi cha kukamata wajinga wa aina yenu alikuwa nacho.
 
Shida si tu kukusanya au kuweka kwenye account mmoja,shida kuu hiyo pesa itatumika vipi.baada ya kupitishwa na bunge kwenda kwenye shughuli zilizopangwa.
Na iwepo marejesho ya jinsi ilivyitumika ikihakiwa na mkaguzi mkuu wa karadha yaani CAG.
Lakini mambo ya one man show kunaweza pakakosekana transparency katika matumizi ya mfuko huo.Na labda ndio tatizo la 1.5 Trillion

Hapo ndio ilipozaliwa neno pesa za Magufuli, na yeye akawa anavimba kichwa kabisa pesa ni zake. Hadi akawa akifika mahali anaongea kwa nyodo kuwa hapa mmechagua mpinzani, hivyo siwezi kuleta maendeleo! Kweli tulipatikana. Na ule ugonjwa bado upo, hadi chawa wa sasa wanasema ni pesa za mama.
 
Ni katika utawala wa Magufuli pekee ambapo serikali yake iliokota vichwa vya treni bandarini halafu ikaja kuvinunua [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hapo ndio ilipozaliwa neno pesa za Magufuli, na yeye akawa anavimba kichwa kabisa pesa ni zake. Hadi akawa akifika mahali anaongea kwa nyodo kuwa hapa mmechagua mpinzani, hivyo siwezi kuleta maendeleo! Kweli tulipatikana. Na ule ugonjwa bado upo, hadi chawa wa sasa wanasema ni pesa za mama.
Na hilo ndio kosa kubwa katika utaratibu wa utawala wa kutomwajibisha mtu yeyote anaevunja sheria.
 
Huko nyuma pesa za umma ziliibiwa na kutafunwa kama njugu.

Maana makusanyo hayakuingia mfuko mkuu wa serikali na pesa mingi sana ilipotea mikononi mwa mafisadi

Hayati Magufuli aliazimia makusanyo yote yaingie kwenye mfuko mkuu wa Serikali. Leo hii taifa letu linanufaika.
Ila ngoja waje team Asali usikie ujinga watakao coment kuhusu hoja yako mubashara kabisa!
 
Huko nyuma pesa za umma ziliibiwa na kutafunwa kama njugu.

Maana makusanyo hayakuingia mfuko mkuu wa serikali na pesa mingi sana ilipotea mikononi mwa mafisadi

Hayati Magufuli aliazimia makusanyo yote yaingie kwenye mfuko mkuu wa Serikali. Leo hii taifa letu linanufaika.
Linanufaika na nini?
 
Kwa hiyo sasa haziibiwi?
 
Chuki zako kwa hayati zinajulikana. Kila jema alilofanya wewe unapinga

Usilete upotoshaji wa kijinga hapa, simkubali mlevi yoyote wa madaraka. Kwangu aliyofanya kwa usahihi sio wema, bali ni wajibu wake maana alikuwa analipwa mshahara, na ilikuwa ni kodi za wananchi sio mshahara wake. Nionyeshe ni wapi alisimamia kodi kujenga shule, hospitali, barabara, miundombinu ya maji nk nikapinga? Ama unadhani sijui nilikuwa nampinga kwa lipi? Ama unadhani ukisema nilikuwa napinga kila kitu itapoteza ukweli nilikuwa sikumkubali kwa lipi?
 
Back
Top Bottom