Ni hayati Magufuli pekee aliyeweka wazi kuwa ili pesa za umma zisiibiwe zote ziingie mfuko mkuu wa Serikali. Marais waliopita huko nyuma walimezea

Na ni Magufuli pekee aliyepoteza 1.5 trillion mpaka leo hatujui zikowapi
Usisahau alipoteza 1.5 t na akaacha miradi kibao ukimlinganisha na yule yule aliyemtoa uhai kwa hofu ya kuweka wazi ufisadi wake
 
Huko nyuma pesa za umma ziliibiwa na kutafunwa kama njugu.

Maana makusanyo hayakuingia mfuko mkuu wa serikali na pesa mingi sana ilipotea mikononi mwa mafisadi

Hayati Magufuli aliazimia makusanyo yote yaingie kwenye mfuko mkuu wa Serikali. Leo hii taifa letu linanufaika.
Ni muda ulikuwa umefika kutokana na teknolojia. Hata mimi ningefanya hivyo..
 
Huko nyuma pesa za umma ziliibiwa na kutafunwa kama njugu.

Maana makusanyo hayakuingia mfuko mkuu wa serikali na pesa mingi sana ilipotea mikononi mwa mafisadi

Hayati Magufuli aliazimia makusanyo yote yaingie kwenye mfuko mkuu wa Serikali. Leo hii taifa letu linanufaika.
Ndo maana toka wakati wa mwendazake hadi sasa hizo pesa zinaliwa na wachache ilhali walio wengi wanaumizwa na tozo. Wacha roho yake ilale popote peponi.
 
Huko nyuma pesa za umma ziliibiwa na kutafunwa kama njugu.

Maana makusanyo hayakuingia mfuko mkuu wa serikali na pesa mingi sana ilipotea mikononi mwa mafisadi

Hayati Magufuli aliazimia makusanyo yote yaingie kwenye mfuko mkuu wa Serikali. Leo hii taifa letu linanufaika.
Hapa ndo aliharibu mkuu. Ndo maana kipindi cchake nchi ilikuwa imepigwa ganzi uchumi hauendi. The economy always must be divervesified. Ungesoma finance ungenielewa japi kiduchu.

Chukua hii: Dont put all eggs in one basket. Again, a sound portfolio keeps a health economy.

Kama hujanielewa hapa basi kuna kazi ya ziada kuwaelewesha watanzania Mana shule zao walio wengi ni za SAUT na udom za gpa kubwa wakati kichwani hamna kitu
 
Huko nyuma pesa za umma ziliibiwa na kutafunwa kama njugu.

Maana makusanyo hayakuingia mfuko mkuu wa serikali na pesa mingi sana ilipotea mikononi mwa mafisadi

Hayati Magufuli aliazimia makusanyo yote yaingie kwenye mfuko mkuu wa Serikali. Leo hii taifa letu linanufaika.
Sema lilipokuja suala la 1.5trl likaleta kizazaa mpaka aliehoji zimetumikaje na wap akapigwa chin immediately 😂😂😂😂. Uzalendo Africa bado sana.
 
Usisahau alipoteza 1.5 t na akaacha miradi kibao ukimlinganisha na yule yule aliyemtoa uhai kwa hofu ya kuweka wazi ufisadi wake
Kujenga miradi haifuti kupoteza 1.5 trillion
 
Huko nyuma pesa za umma ziliibiwa na kutafunwa kama njugu.

Maana makusanyo hayakuingia mfuko mkuu wa serikali na pesa mingi sana ilipotea mikononi mwa mafisadi

Hayati Magufuli aliazimia makusanyo yote yaingie kwenye mfuko mkuu wa Serikali. Leo hii taifa letu linanufaika.
 
Huko nyuma pesa za umma ziliibiwa na kutafunwa kama njugu.

Maana makusanyo hayakuingia mfuko mkuu wa serikali na pesa mingi sana ilipotea mikononi mwa mafisadi

Hayati Magufuli aliazimia makusanyo yote yaingie kwenye mfuko mkuu wa Serikali. Leo hii taifa letu linanufaika.
Sawa
 
Bora yeye alikua kibaka na miradi tuliona ikifanyika Sasa Hawa wezi waliopo hakuna kitu kinafanyika zaidi ya wizi tu
Alifanya nini. Kila mtu humu aseme wilayani kwake kipya kipi alikiona kikifanyika? Mimi mtoto wa kijijini sjaona kipya nawambia. Ninyi wa mjini labda.
 
Back
Top Bottom