Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Wadau,
Ni brand gani ya headphone au earphone zina midundo yenye ubora wa hali ya juu kwa kusikilizia muziki au audio ambayo haichoshi masikio hata ukitumia kwa muda mrefu,yenye uwezo wa kuondoa kelele za nje(nose cancellation) na kukufanya ufurahie muziki bila kuweka sauti kubwa yenye madhara masikioni.
Unaweza kutaja na bei na hata picha kama unayo na wapi inapatika.
Karibuni wajuzi.
Asante.