Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,323
Yes tatizo ni bei wa Tz wachache wako tayari kununua earphones za 100 usd au zaidiKwanini wanasema wanunuzi wachache,tatizo ni bei au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes tatizo ni bei wa Tz wachache wako tayari kununua earphones za 100 usd au zaidiKwanini wanasema wanunuzi wachache,tatizo ni bei au?
SafiThe 17 Best Headphone Brands - Summer 2022 Reviews
* Hawa watu naona wamefanya review zao, na Bose imefanya vizuri zaidi.
- Bose. Bose QuietComfort 45/QC45 Wireless. ...
- Sony. Sony WH-1000XM4 Wireless. ...
- Apple. Apple AirPods Pro Truly Wireless. ...
- Sennheiser. Sennheiser HD 800 S. ...
- Audio-Technica. Audio-Technica ATH-M50x. ...
- Beyerdynamic. Beyerdynamic DT 990
*Bose huwa wana speaker ndogo, ila ni durable with best sound quality ingawa bei zimechangamka.
Asante, vipi za za 200k au 300k siwezi kupata quality headphones?Una bajeti kiasi gani?
Quality headphones au earphone zinaanzia around 1mil.
Sony WH series ziko poa sana kwa kuanzia
Sorry sikuelezeaAsante mkuu,ila kwanini umezigawa hivyo kutokana na matumizi?namaanisha kwa mfano hizo za mazoezi huwezi kusikiliza ukiwa umetulia?au tofauti yake inakuwa nini? na ulinunua wapi?
Wengine wapo tayari kupata uziwi ila siyo kununua earphone zilizo salamaYes tatizo ni bei wa Tz wachache wako tayari kununua earphones za 100 usd au zaidi
JBL unawaachaje Kwa mfano hawa watu ni hatari na nusuThe 17 Best Headphone Brands - Summer 2022 Reviews
* Hawa watu naona wamefanya review zao, na Bose imefanya vizuri zaidi.
- Bose. Bose QuietComfort 45/QC45 Wireless. ...
- Sony. Sony WH-1000XM4 Wireless. ...
- Apple. Apple AirPods Pro Truly Wireless. ...
- Sennheiser. Sennheiser HD 800 S. ...
- Audio-Technica. Audio-Technica ATH-M50x. ...
- Beyerdynamic. Beyerdynamic DT 990
*Bose huwa wana speaker ndogo, ila ni durable with best sound quality ingawa bei zimechangamka.
Mkuu hilo la uziwi wengi hawaelewi, kwamba hizi headphones/earphones zina athari kwenye masikio, unakuta mtu kafungulia sauti ya earphone ya buku jero mpaka uliyeko nje unasikia hadi wimbo anaosikiliza, yeye anaona poa tu, baada ya muda hiyo itamuathiri masikio.Wengine wapo tayari kupata uziwi ila siyo kununua earphone zilizo salama
Nakomaa na za $2.2 najiona mie Ni Don wa keisangora na kemendi kimusi keghongaUna bajeti kiasi gani?
Quality headphones au earphone zinaanzia around 1mil.
Sony WH series ziko poa sana kwa kuanzia
✍️👍🙏Mkuu hilo la uziwi wengi hawaelewi, kwamba hizi headphones/earphones zina athari kwenye masikio,unakuta mtu kafungulia sauti ya earphone ya buku jero mpaka uliyeko nje unasikia hadi wimbo anaosikiliza,yeye anaona poa tu,baada ya muda hio itamuathiri masikio.
Ndio maana wenzetu wanaboresha teknolojia ili kupunguza hizo athari,ikiwepo kubalance music na ANC(active noise cancelling) ambapo sauti zisizohusika za nje zinazuiwa kabisa kuingia ili uweze kusikiliza kwa sauti ya wastani.
Una haribu masikio dogoWadau,
Ni brand gani ya headphone au earphone zina midundo yenye ubora wa hali ya juu kwa kusikilizia muziki au audio ambayo haichoshi masikio hata ukitumia kwa muda mrefu,yenye uwezo wa kuondoa kelele za nje(nose cancellation) na kukufanya ufurahie muziki bila kuweka sauti kubwa yenye madhara masikioni.
Unaweza kutaja na bei na hata picha kama unayo na wapi inapatika.
Karibuni wajuzi.
Asante.
View attachment 2344400View attachment 2344401