Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Izo zote brand kubwa. Ukitumia bila kuzirudishia kwenye case yake zinichaji ni 6-9 hours.
Bei gani? Na zinapatikana wapi?Natumia hii haija ni disappoint, View attachment 2345367
Yaan kumbe kuna hadi za 1m ni aibu sana 😂[emoji28]kwanini ukazificha?
Mziki wake ni noma sana, very good, battery inakaa vya kutosha, build quality kali sana, with active noise Cancellation... Kwa ufupi they are very good.Du! Aise hizi bei kweli sio za kinyonge,vipi mziki wake lakini?
Bei gani?na zinapatikana wapi?
Aisee hongera,endelea kufurahia maishaMziki wake ni noma sana, very good, battery inakaa vya kutosha, build quality kali sana, with active noise Cancellation... Kwa ufupi they are very good.
Mimi Natumia Sony 1000xm4, kwenye best earbuds duniani, hii Sony 1000xm4 ipo kwenye top 3.
Hizi ni Earbuds zenye Noice Cancellation(ANC), ndio maana bei yake imesimama... but they are very good, huwezi kulinganisha na hizi fekero za 35,000 sijui 90,000.
Asante,angalau hizo za juu zina bei ya kizalendo,hawa kina Sony wanataka uwe umeamua hasa kujiumiza,maana bei zake sio mchezoTafuta edifier W820nb au Anker sound core life q30, q35 au q45.
Nilinunua edifier 820bt, 2019 Kwa 120k, AliExpress, zinalia vizuri Sana, Zina balanced sound, kila tune ya kwenye mziki unaisikia,
Kwa sasa nimeagiza edifier W820nb, inauzwa around 120k, nilitaka kuagiza Anker soundcore q30, ila kwa review za YouTube inaonesha Zina deep base, hazina balanced sound, Hadi utumie equilizer ndio unapata balanced sound,
Bei ya Anker soundcore q30 ni around 170k, AliExpress.
Anker soundcore Wana matoleo mengine kama Anker sound core q35, ambayo ni around 240k AliExpress, na Anker soundcore q45 Ambayo imetolewa ivi karibuni, Kwa AliExpress inauzwa around 380k
Hizo headphones,za Anker na edifier zinaperform almost sawa ukilinganisha na headphones za kampuni kubwa kama Sony, JBL na sennheiser, ila Kwa bei ya kizalendo,
Ukitaka kuvunja kibubu tafuta products za sony, Sennheiser au JBL,View attachment 2345450View attachment 2345451View attachment 2345453View attachment 2345454
Pia, kuna hizi earphones za Philips, Philips she3800, (nyingi zilizopo mtaani ni fake) original sehem yenye rangi nyeupe imefifia, zinauzwa elfu 10,000)Asante,angalau hizo za juu zina bei ya kizalendo,hawa kina Sony wanataka uwe umeamua hasa kujiumiza,maana bei zake sio mchezo
Rock zircon ile earphones kiboko,saiz hazipo tena,nina kz ed9 lakin naona haifati mziki wa rock zircon,naona wadau wanashauri tupande dau tuacheni na upuuuzi wa low budget hizi [emoji2][emoji23]Pia, kuna hizi earphones za Philips, Philips she3800, (nyingi zilizopo mtaani ni fake) original sehem yenye rangi nyeupe imefifia, zinauzwa elfu 10,000)
Ukipata original zake zinalia vizuri Sana, zina deep base, high, mid ,low zinasikika bila shida, na sauti yake haiumizi maskio
Hapo kabla niliwahi kutumia earphones za JBL tune 110t, nikaachana nazo, zinalia kawaida na sauti ya upande mmoja imefifia,
Nikajaribu earphones za Qkz zxn 10pro, nazo sikuzifurahia, ukisikiliza Kwa muda mrefu maskio Yana Uma, zina flat sound , haupati Ile 3d immersive sound.
Pia kuna earphones za Xiaomi piston basic nilitumia Kwa muda, nikaachana nazo, kutokana na kuumiza maskio ukitumia Kwa muda mrefu,
Kipindi cha nyuma niliwahi kuagiza earphones za rock zircon, hizi zilikua zinalia vizuri Sana, Kila tune unaiskia vizuri, haziumizi maskio, Kwa sasa sizioni AliExpress, naona kuna Toleo jingine wanaita rock obsidian, sijajua kama zinalia vizuri kama rock zircon ya zamani.
Hizo earphone za Philips zinalia vizuri zaidi ukitumia rubber/ cover zake.
View attachment 2345763
Asante mkuu,inaonekana wewe ni mtumiaji mzuri wa hizi earphones,una experience nzuri na hivi vitu,hapa ngoja nitafanya utafitiPia, kuna hizi earphones za Philips, Philips she3800, (nyingi zilizopo mtaani ni fake) original sehem yenye rangi nyeupe imefifia, zinauzwa elfu 10,000)