Ni headphone/earphone za brand gani zina ubora wa juu?

Milioni mbona cha mtoto!
O Bravo Ra series headphones (wired) zinagharimu hadi dola 12000
Kuna happy plugs earphone dola 14500

Maisha huko dunia ya kwanza , yanatia hasira na uchungu kwa sisi masikini, dola 12000 ni kariu miloni 30 za madafu , mtu anaweka masikioni!!
Hayo maisha watu wanaishi Bongo mkuu, hivyo vitu vipo targeted kwa Mabilionea/Milionea popote walipo duniani, hata huko mbele kuna watu wanashangaa kama wewe.
 
We ukiona mtu ana happy plugs earphone, jua kaweka 30 millions tshs, masikioni, ivo tu
Tukubali tu kuna watu hawana hela za mawazo

Miaka kama mitatu iliyopita jamaa yangu mmoja alienda hoteli fulani hapo Arusha aliagizwa kazi fulani,sasa katika kwenda hapo mara kadhaa akafahamiana na dogo mmoja kutoka US miaka kama 20 hivi wakatokea kuelewana tu,yule dogo alipotaka kurudi kwao akamuachia jamaa cheni na saa vyote Gold,sasa yeye jamaa alijua ni za kawaida tu hakutilia maanani sana,akaanza kuvaa ile cheni,sasa kuna jamaa zake waelewa wakamuuliza hio cheni ya gharama hivi umeitoa wapi,jamaa kawaambia nilipewa zawadi tu,wakamwambia usivae hio cheni kiboya hivyo hasa mida ya usiku,utakatwa shingo,jamaa akaamua kuiweka tu akaacha kuvaa.

Sasa mwaka huu kapigika ndio akakumbuka kwamba kuna cheni auze apate hata laki kadhaa zake,akaenda kwa Sonara wa kihindi ana duka kuuliza mhindi alipopima anamwambia anampa mil 25,jamaa hakuamini,akaenda Duka lingine jamaa aksema atampa Mil 22,akarudi kwa Mhindi akavuta hela yake,hapo bado saa ya Gold anayo.

Yule dogo alimuachia Email ila jamaa hakuwahi hata kujisumbua kumtafuta tangu aondoke ila baada ya kuuza ndio akakumbuka akasema atajaribu kumtafuta ila imekuwa muda sijui kama atampata.
 
Niliwahi tumia earphone za Xiaomi sikuzipenda nikaagiza Rock Zircon, nilizipenda Sana mziki wa maana lakini hazikudumu nilikaa nazo kama mwaka hivi zikafa mwisho nikaagiza za Oppo Kwa 50k nilizikubali japo hazikuweza kufikia mziki wa Rock Zircon. Now nataka nitoke huku Kwa 50k angalau nifike 200k nionje radha yake
 
Tukubali tu kuna watu hawana hela za mawazo

Miaka kama mitatu iliyopita jamaa yangu mmoja alienda hoteli fulani hapo Arusha aliagizwa kazi fulani,sasa katika kwenda hapo mara kadhaa akafahamiana na dogo mmoja kutoka US miaka kama 20 hivi wakatokea kuelewana tu,yule dogo alipotaka kurudi kwao akamuachia jamaa cheni na saa vyote Gold,sasa yeye jamaa alijua ni za kawaida tu hakutilia maanani sana,akaanza kuvaa ile cheni,sasa kuna jamaa zake waelewa wakamuuliza hio cheni ya gharama hivi umeitoa wapi,jamaa kawaambia nilipewa zawadi tu,wakamwambia usivae hio cheni kiboya hivyo hasa mida ya usiku,utakatwa shingo,jamaa akaamua kuiweka tu akaacha kuvaa.

Sasa mwaka huu kapigika ndio akakumbuka kwamba kuna cheni auze apate hata laki kadhaa zake,akaenda kwa Sonara wa kihindi ana duka kuuliza mhindi alipopima anamwambia anampa mil 25,jamaa hakuamini,akaenda Duka lingine jamaa aksema atampa Mil 22,akarudi kwa Mhindi akavuta hela yake,hapo bado saa ya Gold anayo.

Yule dogo alimuachia Email ila jamaa hakuwahi hata kujisumbua kumtafuta tangu aondoke ila baada ya kuuza ndio akakumbuka akasema atajaribu kumtafuta ila imekuwa muda sijui kama atampata.
Duuu, very interesting
 
Niliwahi tumia earphone za Xiaomi sikuzipenda nikaagiza Rock Zircon,nilizipenda Sana mziki wa maana lakini hazikudumu nilikaa nazo km mwaka hivi zikafa mwisho nikaagiza za Oppo Kwa 50k nilizikubali japo hazikuweza kufikia mziki wa Rock Zircon. Now nataka nitoke huku Kwa 50k nivuke boda mpk 200k mziki mzuri una raha yake
Rock zircon ni cheap chinese
products nilishawahi kuwa nazo zilikuwa zinaniumiza kichwa nikisikiliza kwa muda mrefu,
Kama unapenda muziki jaribu sony wf xb 700 au kama pesa ipo jaribu Akg n400 , from harman hizi ni audiophile class tws
 
sound pets ni earphone nzuri na bei poa around 70,000 mbaka unazipata aliexpress. View attachment 2347480
789226642-770643915.jpg
View attachment 2347481
 
haumiizi maskio wala kelele za nje husikii kabisa.
Kutosikia makele ya nje ni hatari kupindukia.

Kijana wa balozi wa Kenya nchini Canada aliuawa kwa kupondwa na Helikopta, alikuwa na ma headphones kichwani hasikii haambiwi.

Sasa kwa Bongo na hizi boda boda, mbwa wanaojitegemea kwa chakula, dala dala imetanua kwenye walkway, bajaji, mikokoteni, kuli kabeba gunia la sembe anakwambia excuse me husikii eti una Dr. Dre Headphones?

Watakuponda kama tandu kaonekana sebuleni.
 
Tukubali tu kuna watu hawana hela za mawazo

Miaka kama mitatu iliyopita jamaa yangu mmoja alienda hoteli fulani hapo Arusha aliagizwa kazi fulani,sasa katika kwenda hapo mara kadhaa akafahamiana na dogo mmoja kutoka US miaka kama 20 hivi wakatokea kuelewana tu,yule dogo alipotaka kurudi kwao akamuachia jamaa cheni na saa vyote Gold,sasa yeye jamaa alijua ni za kawaida tu hakutilia maanani sana,akaanza kuvaa ile cheni,sasa kuna jamaa zake waelewa wakamuuliza hio cheni ya gharama hivi umeitoa wapi,jamaa kawaambia nilipewa zawadi tu,wakamwambia usivae hio cheni kiboya hivyo hasa mida ya usiku,utakatwa shingo,jamaa akaamua kuiweka tu akaacha kuvaa.

Sasa mwaka huu kapigika ndio akakumbuka kwamba kuna cheni auze apate hata laki kadhaa zake,akaenda kwa Sonara wa kihindi ana duka kuuliza mhindi alipopima anamwambia anampa mil 25,jamaa hakuamini,akaenda Duka lingine jamaa aksema atampa Mil 22,akarudi kwa Mhindi akavuta hela yake,hapo bado saa ya Gold anayo.

Yule dogo alimuachia Email ila jamaa hakuwahi hata kujisumbua kumtafuta tangu aondoke ila baada ya kuuza ndio akakumbuka akasema atajaribu kumtafuta ila imekuwa muda sijui kama atampata.
Aisee noma sana maisha haya balaaa
 
Rock zircon ni cheap chinese
products nilishawahi kuwa nazo zilikuwa zinaniumiza kichwa nikisikiliza kwa muda mrefu,
Kama unapenda muziki jaribu sony wf xb 700 au kama pesa ipo jaribu Akg n400 , from harman hizi ni audiophile class tws
Au ulipata zenye hitilafu Mkuu maana hata baadhi ya wadau wamezisifia Rock.

Hizo ulizozitaja Bei yake ikoje na zinapatikana hapa Bongo au mpk kuagiza?
 
Rock inawezekana nilipigwa fake product Sony ni hadi za kuagiza , mimi nilinunua kwa dola 49 plus shipping
Akg n400 nilizisikia kwa jamaa flan , zina muziki wa balaa , ni audiophile class , ebay ni dola 86 shiped nafikiria kuziagiza mpunga ukiwa stable.
 
Rock zircon ni cheap chinese
products nilishawahi kuwa nazo zilikuwa zinaniumiza kichwa nikisikiliza kwa muda mrefu,
Kama unapenda muziki jaribu sony wf xb 700 au kama pesa ipo jaribu Akg n400 , from harman hizi ni audiophile class tws
Na shida ya headphone cheap huwa ndio hio kuumiza kichwa na masikio ukitumia mda mrefu,kwahio hapo aandae bajeti kiasi gani?
 
Nilinunua AKG nikajiona boss....
Nikipiga picha nageuza shingo hivi watu waone[emoji23][emoji23][emoji23].
Kumbe bado, ila JF pamejaa maboss tupu.
Nyieeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] hamna maboss bwana ila wanajua vitu vizuri tu
 
Kutosikia makele ya nje ni hatari kupindukia.

Kijana wa balozi wa Kenya nchini Canada aliuawa kwa kupondwa na Helikopta, alikuwa na ma headphones kichwani hasikii haambiwi.

Sasa kwa Bongo na hizi boda boda, mbwa wanaojitegemea kwa chakula, dala dala imetanua kwenye walkway, bajaji, mikokoteni, kuli kabeba gunia la sembe anakwambia excuse me husikii eti una Dr. Dre Headphones?

Watakuponda kama tandu kaonekana sebuleni.
Tunasema ni nzuri kwa upande wa quality ya muziki na afya ya masikio ila sio nzuri kwa kuzunguka nazo barabarani hasa kwenye msongamano au kutumia huku unaendesha chombo utakufa mapema maana umakini utapungua
 
Back
Top Bottom