Ni headphone/earphone za brand gani zina ubora wa juu?

Ni headphone/earphone za brand gani zina ubora wa juu?

Bosse nilinunua mwaka huu 75k makumbusho nililetewa kabisa delivery juu kumbe ni fake kmmk wachina wapo vizuri Kwa kutoa kitu ukikiona kama OG nilinunua bosse 700[emoji116]View attachment 2363620
Yaani bose headphone iuzwe elfu 75 na wewe ukaiamini.

Hizo headphone Genuine ni almost kama 1 million hivi(au pungufu kidogo), wewe ukawa unataka uidake kwa elfu 75?
 
Ulizifuma wapi na kwa bei gani?
Kuna jamaa yangu alipewa zawadi akaniuziaga hakuwa mtu wa hivi vidude.. ni kitambo kidogo sijui nilimpa 50k vile na zilikuwa mpya hadi nimezichakaza.. sina kumbukumbu vizuri pesa niliyompa exactly View attachment 2364058View attachment 2364060View attachment 2364059
Screenshot_20220921-224624_Gallery.jpg

Sent from my SM-G930U using JamiiForums mobile app
 
Yaani bose headphone iuzwe elfu 75 na wewe ukaiamini.

Hizo headphone Genuine ni almost kama 1 million hivi(au pungufu kidogo), wewe ukawa unataka uidake kwa elfu 75?
Mzee nilikuwa mgeni na bosse ndo naanza kuijua alafu siunajua vijana wa makumbusho wanavojua kubrand vitu IG ukikuta wamekipiga picha kitu kama hujazama ndichi kufanya comparison ya OG Vs FAKE lazima upuyange
 
Yaani bose headphone iuzwe elfu 75 na wewe ukaiamini.

Hizo headphone Genuine ni almost kama 1 million hivi(au pungufu kidogo), wewe ukawa unataka uidake kwa elfu 75?
Baada ya kujua ni famba nilikaaa nayo wiki Tu dogo mmoja akajilengesha nikamuuzia 50k nilibaki na kibegi chake Tu hichi apa[emoji116][emoji16]
PXL_20220921_201430906.jpg
 
Sure kununua headphones na earphones za mill 1 inaweza kuwa kawaida ila napata ukakasi kuona hichi kitu Tanzania.
Then nabaki kujiuliza hawa watu wanaolia tozo, hasa tozo za miamala na vifurushi wanatokea wapi?

Speaker imetengenezwa kwa magnet, plastic diaphragm na voice coil, sidhani kama kuna new technology in speakers I highly doubt that.
Besides marketing strategy, ushabiki, brand popularity na status hasa kwa watu wakubwa, millionaires, billionaires na music proffesionals, sioni cha maana speaker ya mill 1 inaoffer kuzidi speaker ya 100k labda noise Cancellation ila kuna aslimia 90% quality ni ileile kwa watu wanaojua sound wave differentials.
Na most important ni psychologically watu wanaamini kitu kikiwa na bei kubwa basi quality inakuwa kubwa, ni scientifically proven.

We truly live in a society, kuna mtu atakuja kusema "tafuta hela wewe!".
Anyway I'm just saying!
 
Back
Top Bottom