[emoji3][emoji3] ndio hivyo mkuu,na chenchi kabisa inaweza kubakihpo kwa sony unapata kodtec subwoofer 2[emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3] ndio hivyo mkuu,na chenchi kabisa inaweza kubakihpo kwa sony unapata kodtec subwoofer 2[emoji16][emoji16]
Mfano, earbuds za Sony wf1000-xm4 ninazotumia, kuna feature ifuatayo[emoji116].1st: Quality ya Sound kati ya Speaker na Speaker SIO SAWA na HAIFANANI. Mfano: unataka kusema Kwamba Speaker ya Seapiano mchina inaweza kuwa sawa na spika ya Bose???
2nd: Twende kwenye point ya earphones, Apart from Noice Cancelling, nakupa factors zingine:
- Sound Quality
- True Stereo Separation
- Build Quality
- Touch controls
- Smart voice controls(Alexa, Google home etc)
- Superb Battery Life
- In app customization
- Water/Dust resistant
Nakadhalika.....
Swali langu kwako:
Hivi vitu unavipata kwenye earphones/earbuds za Laki Moja?
0684219020 nazo za brand zote kwa bei poa kabisaWapi zinapatika na bei gani mkuu?
Asante kwa ufafanuziUwezekano huo upo kabisa, frequency responce zinatofautiana sana ,
Kuna speaker zinarespond vizuri kwa kila frequency . Lakini pia inategemea na amplifier ya simu au walkman husika simu za lg samsung au baadhi ya zte zina amp nzuri.
Hio noise cancellation ni nzuri sana,pia inasaidia kuondoa sauti za nje kuingilia mziki kwahio unaweza kusikiliza kwa sauti ya kawaida isiyoua masikio,maana kwa hizi headphone zingine itakubidi upandishe sauti ya mziki iwe kubwa ili usisikie kelele za njeMfano, earbuds za Sony wf1000-xm4 ninazotumia, kuna feature ifuatayo[emoji116].
Yaani unasikiliza mziki (with noise Cancellation on), halafu endapo mtu akikuongelesha halafu wewe ukamjibu (wewe ukaongea), zina pause mziki automatically, zinaenda kwenye transparency mode(zina turn off noice Cancellation kwa muda,so unakuwa unamsikia anayekuongelesha) then ukimaliza kuongea zinaturn on Noise Cancellation na zinaendelea kupiga mziki palepale ulipoishia.
Sasa vitu kama hivi ni moja ya sababu inafanya ulipe laki 8 au 1mil kwenye earbuds.
Hizi za laki 1 haziwezi kufanya vitu kama hivyo.
Exactly mkuuHio noise cancellation ni nzuri sana,pia inasaidia kuondoa sauti za nje kuingilia mziki kwahio unaweza kusikiliza kwa sauti ya kawaida isiyoua masikio,maana kwa hizi headphone zingine itakubidi upandishe sauti ya mziki iwe kubwa ili usisikie kelele za nje
Mfano, earbuds za Sony wf1000-xm4 ninazotumia, kuna feature ifuatayo[emoji116].
Yaani unasikiliza mziki (with noise Cancellation on), halafu endapo mtu akikuongelesha halafu wewe ukamjibu (wewe ukaongea), zina pause mziki automatically, zinaenda kwenye transparency mode(zina turn off noice Cancellation kwa muda,so unakuwa unamsikia anayekuongelesha) then ukimaliza kuongea zinaturn on Noise Cancellation na zinaendelea kupiga mziki palepale ulipoishia.
Sasa vitu kama hivi ni moja ya sababu inafanya ulipe laki 8 au 1mil kwenye earbuds.
Hizi za laki 1 haziwezi kufanya vitu kama hivyo.
Ndi maana bei zipo juu,ila ni nzuri hiomfano apple wameweka feature ya interigent control kwenye earpod zao mpya za mwaka huu,yaani ina regurate sauti kulingana na mazingira.huna haja ya kupunguza na kuongeza sauti.
ukiingia mashineni tu inapeleka sauti mpaka mwisho maana kuna kelele.
Vyenyewe kwa maana ni OG?Kuna jamaa nawaonaga instagram wanajiita "techovers" naona kama vitu vyao ni vyenyewe
Sent from my SM-G930U using JamiiForums mobile app
Bei juu si kwamba tech bali pia unanunua na jina ,apple products by deafult ni ghaliNdi maana bei zipo juu,ila ni nzuri hio
Yes bado zinapiga mzigo safi kabisa, ila nina mpango wa kuagiza rubber zake nimeona zinauzwa online..OK,ulikuwa na bahati sana,lakini bado zinapiga mziki kawaida?
OK kumbe hilo nalo lipo,kwahio cha msingi ni kuangalia features muhimuBei juu si kwamba tech bali pia unanunua na jina ,apple products by deafult ni ghali
Kuna earphone zina beiya kawaida tu, na zipo loaded with featueres .
Lakini pia kuna audiophile approved earphones, hizi ni zile zinazoplay top quality music with full frequency responce , cha ajabu apple earphones pamoja na kuwa ni ghali sijaona zikiwa recomended na watu wa audiophile,
Sony wf 1000xm4 ni audiphile aproved earbuds , mie nazisubiri zipoe kwanza bei , maana ni za moto beiMfano, earbuds za Sony wf1000-xm4 ninazotumia, kuna feature ifuatayo[emoji116].
Yaani unasikiliza mziki (with noise Cancellation on), halafu endapo mtu akikuongelesha halafu wewe ukamjibu (wewe ukaongea), zina pause mziki automatically, zinaenda kwenye transparency mode(zina turn off noice Cancellation kwa muda,so unakuwa unamsikia anayekuongelesha) then ukimaliza kuongea zinaturn on Noise Cancellation na zinaendelea kupiga mziki palepale ulipoishia.
Sasa vitu kama hivi ni moja ya sababu inafanya ulipe laki 8 au 1mil kwenye earbuds.
Hizi za laki 1 haziwezi kufanya vitu kama hivyo.
Jabra nimesikia zinasifiwa sana na Reviewers wa huko mbele... hivi kumbe Bongo zipo?Sony wf 1000xm4 ni audiphile aproved earbuds , mie nazisubiri zipoe kwanza bei , maana ni za moto bei
Ila ukipata wasaa jaribu akg nc400 kutoka harman , au jabra elite 75t, these are cheap , audiophile recommended earbuds and they rock!
Bro muziki unaujua!!!Ni kweli. Kuna sauti unaweza usizisikie kutokana na spika unayotumia.
Kwa uelewa wangu, Sound reproduction ya Speakers inatofautiana sana.
Mfano rahisi tu, Spika ya Mchina ya laki 1 haiwezi kuproduce sauti EXACTLY kama speaker ya "a named manufacturer" anayeeleweka inayocost 2 or 3 million.
Mimi binafsi natumia HiFI Speakers flani hivi expesive kidogo.
Kuna sauti nazisikia sasa hivi ambazo sikuwahi kuzisikia kabisa huko nyuma nilipokuwa natumia Speakers nyingine za kawaida.
Niliagiza , usinunue 85t , ni latest lakini haina maajabu , 75t ndp mpango mzimaJabra nimesikia zinasifiwa sana na Reviewers wa huko mbele... hivi kumbe Bongo zipo?
OkYes bado zinapiga mzigo safi kabisa, ila nina mpango wa kuagiza rubber zake nimeona zinauzwa online..
Sent from my SM-G930U using JamiiForums mobile app
ukatoa na 5 stars kabisa.Jana nimepokea oneodio pro 50, professional studio headphones, ni wired, nimechukua around 90,000tsh/=
Ngoma zinapiga balaa , hazichoshi maskio, very comfortable maskioni,
Kuna music player ya huawei naitumia, ina option ya 3d sound, utadhani studio imehamia kwenye maskio.
(Angalizo: matumizi ya muda mrefu ya headphones/earphones yanaweza hatarisha afya ya maskio,
usizidishe sauti zaidi ya asilimia 60 ya sauti ya kifaa chako )
View attachment 2353366View attachment 2353367View attachment 2353368View attachment 2353369View attachment 2353370View attachment 2353371