Kwa wale wataalamu wa muziki,
Nilikuwa napitia Mtandao wa Quora nikakutana na mjadala unaofanana na huu nilioanzisha hapa,sasa katika comments kuna mdau akaandika vitu ambavyo nimeona niulize hapa ili tujadili,Yeye alisema hivi;
1.Headphone ikiwa na Active noise cancelling(ANC),hapo ujue kwamba kuna baadhi ya Original sounds za muziki huwezi kuzisikia kama hio function ikiwa on kwa sababu inaingilia na sauti za muziki pia ili kuzuia sauti za nje.
2.Anasema pia headphone ikiwa wireless kuna baadhi ya audia frequencies haziwezi kisafirishwa hivyo huta enjoy muziki kama mtu anayetumia ambayo ni wired.
Hivyo akashauri kama unataka kuinjoy muziki Chagua headphone yenye quality nzuri lakini isiwa wireless na isiwe na ANC ili upate ladha halisi ya muziki
Anasema ukiamua kuchagua hizo features basi ujue utalipia zaidi lakini kwa kukosa ladha ya muziki halisi,wakati unaweza kupata headphone ya gharama nafuu kwa muziki bora kabisa,akatoa baadhi ya brand za headphones ambazo zinafit maelezo aliyotoa.,Je wewe unaonaje?
nayaweka maelezo yake hapa!
I want to apologize for the things that i will say after this sentence.
TRIGGERRED!
First, sure your sen momentum 2.0 sounds “nice”. It is also noise cancelling. Great feature. Expensive? Yes. Worth it? Yes, feature-wise.
Let me clear this forst. Its sound quality will be better than most headphones of lesser price.
So what’s my point then?
You can listen to better quality audio with almost the same money spent on your headphone.
These noise cancelling headphones is not doing audio quality justice in a strict sense. Noise cancelling distorts a little bit of the audio signal when it is working and limits the full audio frequency when it is cancellng ambient noise. Making a headphone wireless will also make the music travel on a narrow band of signal where some of the original sound will be discarded. For a person who wants to appreciate full range of music like you, you kinda missing out. If you are a casual on the go listener, ignore my jibber jabber.
If you want to listen to those missing guitar sound, missing instrument in an orchestra or visualize where are the instruments in a music are placed while listening… get a reference headphone Or a headphone that has the sole job of reproducing your music with all the money you spent on it. The only limitation is the quality of your audio file Being played.
my suggestion would be
Senheisser HD600
Senheisser HD650
Senheisset HD6xx (200 usd from massdrop.com)
AKG k702
AKG K7XX - i own this (200usd because of massdrop.com)
They somehow look Nice, a little bit bigger than ur momentum 2.0 BUT they will make your listening to your music way better.
AKG k7xx is very comfortable and durable in my experience.
If you want those other features because it is a necessity, keep in mind that some of your money has been spent on those features in exchange for the audio quality
Credit:Quora