Ni headphone/earphone za brand gani zina ubora wa juu?

pata huu unyama hapo chini alafu uwe na POWER AMP... aisee aiseeee hii colabooo balaa snaa yani hatari sanaa
Hizi tahadhari sana usivae ukatembea barabarani bila kua makini maana ake zina mziki mzito sana ni kama unakua umeweka vi subwoofer masikioni...

Vina mziki mzito sana hivi nimewahi kutumia...
 
Hizi taahadhari sana usivae ukatembea barabarani bila kua makini maana ake zina mziki mzito sana ni kama unakua umeweka vi subwoofer masikioni...

Aisee
 
Hizo ni sabuwoofer za masikioni..
 
Kwa wale wapenzi wa headphones kuna alternative ya Sony, bila kuumiza mfuko, kwa bei ya kawaida, Edifier w820nb, ni hires certified Bluetooth headphones

Zina hybrid active noise cancelation, game mode, na ambient sound,

Zinatumia Advanced Audio Codec(AAC),
zina APP yake play store

Zinatoa very good balanced sound, kila tune ya mziki unaiskia, haina haja ya kutumia equilizer kupata good sound
Haziumizi maskio hata ukizitumia kwa muda mrefu

AliExpress zinauzwa around 130k TSH,
190870967-1126751678%20(1).jpg
-1532642331654114974%20(1).jpg
-403962015-1923953088%20(2).jpg
1698453645-1365672653%20(1).jpg
 
Kwa wale wapenzi wa headphones kuna alternative ya Sony, bila kuumiza mfuko, kwa bei ya kawaida, Edifier w820nb, ni hires certified Bluetooth headphones

Zina hybrid active noise cancelation, game mode, na ambient sound,

Zinatumia Advanced Audio Codec(AAC),
zina APP yake play store

Zinatoa very good balanced sound, kila tune ya mziki unaiskia, haina haja ya kutumia equilizer kupata good sound
Haziumizi maskio hata ukizitumia kwa muda mrefu

AliExpress zinauzwa around 130k TSH,View attachment 2413785View attachment 2413786View attachment 2413787View attachment 2413788
Ntaluka nazo hizi

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom