Sure kununua headphones na earphones za mill 1 inaweza kuwa kawaida ila napata ukakasi kuona hichi kitu Tanzania.
Then nabaki kujiuliza hawa watu wanaolia tozo, hasa tozo za miamala na vifurushi wanatokea wapi?
Speaker imetengenezwa kwa magnet, plastic diaphragm na voice coil, sidhani kama kuna new technology in speakers I highly doubt that.
Besides marketing strategy, ushabiki, brand popularity na status hasa kwa watu wakubwa, millionaires, billionaires na music proffesionals, sioni cha maana speaker ya mill 1 inaoffer kuzidi speaker ya 100k labda noise Cancellation ila kuna aslimia 90% quality ni ileile kwa watu wanaojua sound wave differentials.
Na most important ni psychologically watu wanaamini kitu kikiwa na bei kubwa basi quality inakuwa kubwa, ni scientifically proven.
We truly live in a society, kuna mtu atakuja kusema "tafuta hela wewe!".
Anyway I'm just saying!