t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
We ukiona mtu ana happy plugs earphone, jua kaweka 30 millions tshs, masikioni, hivyo tuAisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ukiona mtu ana happy plugs earphone, jua kaweka 30 millions tshs, masikioni, hivyo tuAisee
We jamaa maswali yako [emoji3][emoji3][emoji3]Zina nini humo ndani?
Hayo maisha watu wanaishi Bongo mkuu, hivyo vitu vipo targeted kwa Mabilionea/Milionea popote walipo duniani, hata huko mbele kuna watu wanashangaa kama wewe.Milioni mbona cha mtoto!
O Bravo Ra series headphones (wired) zinagharimu hadi dola 12000
Kuna happy plugs earphone dola 14500
Maisha huko dunia ya kwanza , yanatia hasira na uchungu kwa sisi masikini, dola 12000 ni kariu miloni 30 za madafu , mtu anaweka masikioni!!
Tukubali tu kuna watu hawana hela za mawazoWe ukiona mtu ana happy plugs earphone, jua kaweka 30 millions tshs, masikioni, ivo tu
Duuu, very interestingTukubali tu kuna watu hawana hela za mawazo
Miaka kama mitatu iliyopita jamaa yangu mmoja alienda hoteli fulani hapo Arusha aliagizwa kazi fulani,sasa katika kwenda hapo mara kadhaa akafahamiana na dogo mmoja kutoka US miaka kama 20 hivi wakatokea kuelewana tu,yule dogo alipotaka kurudi kwao akamuachia jamaa cheni na saa vyote Gold,sasa yeye jamaa alijua ni za kawaida tu hakutilia maanani sana,akaanza kuvaa ile cheni,sasa kuna jamaa zake waelewa wakamuuliza hio cheni ya gharama hivi umeitoa wapi,jamaa kawaambia nilipewa zawadi tu,wakamwambia usivae hio cheni kiboya hivyo hasa mida ya usiku,utakatwa shingo,jamaa akaamua kuiweka tu akaacha kuvaa.
Sasa mwaka huu kapigika ndio akakumbuka kwamba kuna cheni auze apate hata laki kadhaa zake,akaenda kwa Sonara wa kihindi ana duka kuuliza mhindi alipopima anamwambia anampa mil 25,jamaa hakuamini,akaenda Duka lingine jamaa aksema atampa Mil 22,akarudi kwa Mhindi akavuta hela yake,hapo bado saa ya Gold anayo.
Yule dogo alimuachia Email ila jamaa hakuwahi hata kujisumbua kumtafuta tangu aondoke ila baada ya kuuza ndio akakumbuka akasema atajaribu kumtafuta ila imekuwa muda sijui kama atampata.
Rock zircon ni cheap chineseNiliwahi tumia earphone za Xiaomi sikuzipenda nikaagiza Rock Zircon,nilizipenda Sana mziki wa maana lakini hazikudumu nilikaa nazo km mwaka hivi zikafa mwisho nikaagiza za Oppo Kwa 50k nilizikubali japo hazikuweza kufikia mziki wa Rock Zircon. Now nataka nitoke huku Kwa 50k nivuke boda mpk 200k mziki mzuri una raha yake
Kutosikia makele ya nje ni hatari kupindukia.haumiizi maskio wala kelele za nje husikii kabisa.
Aisee noma sana maisha haya balaaaTukubali tu kuna watu hawana hela za mawazo
Miaka kama mitatu iliyopita jamaa yangu mmoja alienda hoteli fulani hapo Arusha aliagizwa kazi fulani,sasa katika kwenda hapo mara kadhaa akafahamiana na dogo mmoja kutoka US miaka kama 20 hivi wakatokea kuelewana tu,yule dogo alipotaka kurudi kwao akamuachia jamaa cheni na saa vyote Gold,sasa yeye jamaa alijua ni za kawaida tu hakutilia maanani sana,akaanza kuvaa ile cheni,sasa kuna jamaa zake waelewa wakamuuliza hio cheni ya gharama hivi umeitoa wapi,jamaa kawaambia nilipewa zawadi tu,wakamwambia usivae hio cheni kiboya hivyo hasa mida ya usiku,utakatwa shingo,jamaa akaamua kuiweka tu akaacha kuvaa.
Sasa mwaka huu kapigika ndio akakumbuka kwamba kuna cheni auze apate hata laki kadhaa zake,akaenda kwa Sonara wa kihindi ana duka kuuliza mhindi alipopima anamwambia anampa mil 25,jamaa hakuamini,akaenda Duka lingine jamaa aksema atampa Mil 22,akarudi kwa Mhindi akavuta hela yake,hapo bado saa ya Gold anayo.
Yule dogo alimuachia Email ila jamaa hakuwahi hata kujisumbua kumtafuta tangu aondoke ila baada ya kuuza ndio akakumbuka akasema atajaribu kumtafuta ila imekuwa muda sijui kama atampata.
Au ulipata zenye hitilafu Mkuu maana hata baadhi ya wadau wamezisifia Rock.Rock zircon ni cheap chinese
products nilishawahi kuwa nazo zilikuwa zinaniumiza kichwa nikisikiliza kwa muda mrefu,
Kama unapenda muziki jaribu sony wf xb 700 au kama pesa ipo jaribu Akg n400 , from harman hizi ni audiophile class tws
Rock inawezekana nilipigwa fake product Sony ni hadi za kuagiza , mimi nilinunua kwa dola 49 plus shippingAu ulipata zenye hitilafu Mkuu maana hata baadhi ya wadau wamezisifia Rock.
Hizo ulizozitaja Bei yake ikoje na zinapatikana hapa Bongo au mpk kuagiza?
Na shida ya headphone cheap huwa ndio hio kuumiza kichwa na masikio ukitumia mda mrefu,kwahio hapo aandae bajeti kiasi gani?Rock zircon ni cheap chinese
products nilishawahi kuwa nazo zilikuwa zinaniumiza kichwa nikisikiliza kwa muda mrefu,
Kama unapenda muziki jaribu sony wf xb 700 au kama pesa ipo jaribu Akg n400 , from harman hizi ni audiophile class tws
[emoji23][emoji23] hamna maboss bwana ila wanajua vitu vizuri tuNilinunua AKG nikajiona boss....
Nikipiga picha nageuza shingo hivi watu waone[emoji23][emoji23][emoji23].
Kumbe bado, ila JF pamejaa maboss tupu.
Nyieeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Plug yake ipo wapi,au ndio imechomekwa kushoto?sound pets ni earphone nzuri na bei poa around 70,000 mbaka unazipata aliexpress. View attachment 2347480View attachment 2347482View attachment 2347481
Earphone za million kwenda Juu mpaka mil 30 😂😂[emoji23][emoji23] hamna maboss bwana ila wanajua vitu vizuri tu
Tunasema ni nzuri kwa upande wa quality ya muziki na afya ya masikio ila sio nzuri kwa kuzunguka nazo barabarani hasa kwenye msongamano au kutumia huku unaendesha chombo utakufa mapema maana umakini utapunguaKutosikia makele ya nje ni hatari kupindukia.
Kijana wa balozi wa Kenya nchini Canada aliuawa kwa kupondwa na Helikopta, alikuwa na ma headphones kichwani hasikii haambiwi.
Sasa kwa Bongo na hizi boda boda, mbwa wanaojitegemea kwa chakula, dala dala imetanua kwenye walkway, bajaji, mikokoteni, kuli kabeba gunia la sembe anakwambia excuse me husikii eti una Dr. Dre Headphones?
Watakuponda kama tandu kaonekana sebuleni.