Asante mkuu, zinapatika wapi na bei gani au mpaka za kuagiza mtandaoni?Beats by Dre ukipata ile over ear kubwa utakuja nishukuru baadae mkuu.. Zingine ni Samson SR850 over ear pia mziki wake sio poa haumiizi maskio wala kelele za nje husikii kabisa.
BOSE never disappoints, it's true American.
Asante mkuu, ila kwanini umezigawa hivyo kutokana na matumizi? Namaanisha kwa mfano hizo za mazoezi huwezi kusikiliza ukiwa umetulia? Au tofauti yake inakuwa nini? Na ulinunua wapi?Me nitataja Mid rangers tu sio izo JBL za mamilioni.
1. Kwa Mazoezi natumia Redmi Airdot 3 na 3 Lite. (Dot 3 elfu 80 na Lite elfu 50).
2. Kwa music nikiwa ofisini au nafanya kazi kwenye PC natumia Anker Soundcore Q30 (Nilinunua 160).
3. Kwa kukaa tu ofisini na kuongea kwenye cm earpods za Apple gen 1 sio Pro. (Nilinunua 120 used).
500'000 kwenda juu, ila quality ya sound my friend, you won't be disappointed...Price?
AmazonBei?na wapi zinapatika?