Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,778
kwa nini mkuu?Kumbe hii ni globalised DECI! Mchumi mmoja wa BBC anasema kilio hakipo mbali! It's a matter of time!
Ha ha ha ha! hii hii ya JPMNaona labda T.sh./ itakua inaikimbiza bitcoin
Pamoja na kumiliki smartphone you still call bitcoin another Deci??Kumbe hii ni globalised DECI! Mchumi mmoja wa BBC anasema kilio hakipo mbali! It's a matter of time!
Bitcon haina uhusiano na smartphone, Labda ujenge hoja kwa mtindo mwingine nikuelewePamoja na kumiliki smartphone you still call bitcoin another Deci??
Ndo maana haina exchange naTs.h tumeitupa mbali mnoo kulee Ila naipendea benki yetu inaiogopa hiyo bitc kama ukoma hawataki hata kuisikiaHa ha ha ha! hii hii ya JPM
"Bitcon" Siyo "Bico"Bico ina izidi kwambali sana ikifuatiwa na tatu mzuka... Ijue nguvu ya buku...
wanaiogopa maana ina wenyewe tu ika haina monitor!Ndo maana haina exchange naTs.h tumeitupa mbali mnoo kulee Ila naipendea benki yetu inaiogopa hiyo bitc kama ukoma hawataki hata kuisikia
Sababu mitambo yao imepata hitilafuBBC leo wamesema imeshuka thamani kwa 40%
Sahihisha na 3 mzuka.... una zani sifahamu nilicho andika....? una fahamu kila kitu sio...? endelea kukariri bitcoin"Bitcon" Siyo "Bico"
Mitambo ya nini?Sababu mitambo yao imepata hitilafu
mitambo inayo saplai data za kifedha kwenye netMitambo ya nini?
Katika public kuna msemo unaweza kuutumia ukabaki bila kueleweka, msemo wako si kila mtu anaweza kuuelewa kama unamaanisha kuwa ni kamari, ndiyo maana nimekusahihisha!Sahihisha na 3 mzuka.... una zani sifahamu nilicho andika....? una fahamu kila kitu sio...? endelea kukariri bitcoin